Mzee David Wakati Katutoka Leo

RIP David Wakati: Nilianza Rap kabla ya FM, Nilirap wakati ule David wakati ni Mkurugenzi wa AM
 
Kwa niaba yangu na JF tumepokea kwa masikitiko taarifa ya msiba huu mkubwa kwenye tasnia ya Habari nchini..

Roho yake ipumzishwe kwa amani na Mungu awafariji wafiwa na kuwapa ujasiri na subira ktk kipindi hiki kigumu na cha masikitiko kwao na kwetu sote.
 
RIP Mzee Wakati, nakumbuka enzi zile ukisikia Taarifa ya Habari inasomwa na Mzee Wakati unjaua kuna jambo zito limetokea, au Taarifa nyeti sana.
 


...Wewe bila shaka utakuwa wa Long. Asante Mkuu. Umenikumbusha Long. RIP David Wakati.
 
Roho ya marehemu Wakati ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani- Amina
 
Pumzika kwa amani Mzee David Wakati. Bwana alitoa na Bwana ametwa. Jina la bwana lihimidiwe.
 
Pumzika kwa amani Mzee David Wakati. Bwana alitoa na Bwana ametwa. Jina la Bwana lihimidiwe.
 
Alikuwa pia mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya shirika la posta tangu 1996 hadi 2005. Tunamkumbuka pia kwa uadilifu. Apumzike kwa amani.
 
Raha ya Milele umpe ee bwana,Na mwanga wa milele umwangazie.Apumzike kwa amani......Amen
 
Pumzika kwa amani, mpendwa wetu David Wakati
 
Rip Mzee David Wakati!!

Mzee Wakati na wenzake walipomtembelea Rais Nyerere Ikulu enzi hizo




Mzee Wakati akiwa London enzi hizo
 
RIP David Wakati you were exemplary journalist. Siku hizi tuna waandishi makanjanja hadi unasikia kichefu chefu kusikiliza redio.
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema
 

he kwani unajua alikuwa
katika hali gani?
May be alikuwa hajiwez
na ndo mana hukuskia
lolote toka kwake! R.i.p dw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…