The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,610
- 18,184
RIP Mzee D. Wakati.
Wafiwa poleni sana na Mungu awatie nguvu zaidi.
Wafiwa poleni sana na Mungu awatie nguvu zaidi.
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa