Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mzee David Wakati Katutoka Leo

Pumzika Kwa Amani Mzee David Wakati

David+Wakati.bmp
 
R.i.p mzee wakati tutakukumbuka kwa mchango wako kwa taifa letu.
 
:a s 465:rip,rip mzee david wakati ni kama nyota iliyong`aa kwa wakati wake sasa imetoweka,mbaya zaidi haukupata nafasi ya kushuhudia sherehe za miaka 50 ya uhuru ambapo ulikuwa mmoja wa watangazaji wakati huo 1961:a s 465:
 
Mungu alilaze pema peponi roho ya David wakati
 
bwana ametoa bwan ametwaa jina la bwana libarikiwe
 
Duh, nimekumbuka kile kipindi chake "nipe habari", kila Jumapili saa 8:15 mch na ule wimbo wake wa kufungia kipindi; KWAHERINI NDUGU, KWAHERINI NYOTE, MUNGU AKIPENDA: TUTAONANA TENA, MUNGU AKIPENDA, TUTAONANA TENA JAMANI, MUNGU AKIPENDA; TUTAONANA TENA...
Mungu amevuna kilicho chake.
 
Ameacha mfano wa kuigwa. Mungu ampumzishe mahali pema, Amina
 
Written by haki | // 0 comments

NYERERE-+IKULU+02.jpg

BAADHI YA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWL. NYERERE SIKU YA KUMUAGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUSTAAFU MWAKA 1985.KUSHOTO NI DAVID WAKATI(RTD),NYUMA YA MWL. NI MZEE SAILEN(AVI), GERVACE MSILO (DAILY NEWS, ADINAN MIHANJI (SHIHATA) NA KIYUNGI WA KIYUNGI (MAELEZO)
Kumbu+kumbu+01.jpg

BAADHI YA WAPIGA PICHA TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE WAKATI WA KUMUAGA BAADA YA KUSTAAFU URAIS IKULU JIJINI DAR ES SALAAM 1985.WALIOSIMAMA TOKA KUSHOTO MAX MADEBE(MFANYAKAZI),SAM MMBANDO(SHIHATA),VINCENT URIO, (DAILY NEWS),JOHN MAKWAIA (MAELEZO), MZEE SILEN(AVI), JUMA DIHULE(SHIHATA), ADINAN MIHANJI (SHIHATA)NA KIYUNGI WA KIYUNGI (MAELEZO). WALIOCHUCHUMAA WAPILI TOKA KUSHOTO,CHARLES KAGONJI (MAELEZO),GERVCE MSILLO (DAILY NEWS), MWANAKOMBO JUMAA (MAELEZO), KHATIBU ALLY (UHURU) NA RAPHAEL HOKORORO (MAELEZO).
 
Ni kweli umetutoka, ila sauti yako mahiri haitatutoka masikioni kwetu kwa wale tuliokufahamu. RIP
 
Back
Top Bottom