Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mzee David Wakati Katutoka Leo

A time to be born and a time to die. . . . all are of the dust, and all turn to dust again

Lets pray....



Father, thank you for every time you speak to our hearts and for every word you place there. Thank you for questions that come to us because we will seek out the answers in your Word. We love you and want to please you with our lives. Help us to put aside the foolish things that mean nothing. Help us to see that we need to lay up treasures in Heaven, not on this earth, because our life is nothing but a vapor and will pass from us. Help us to make every day count for you. In Jesus' name. Amen
 
RIP David Wakati... Utakumbukwa kwa mengi... Mungu awape nguvu na moyo wa subira ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu... Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.

Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa
 
I grew up on "Nipe Habari" listening to Mzee Wakati weekly.

My heart goes out to the family and friends during this difficult time.
 
pumzika wewe mzee wangu Devidi wa KAti...mwanga wa milele uangaziwe na upumzike kwa amani
 
Mungu amlaze peponi mzee wetu.namkumbuka katika kipindi chake kilichoitwa NIPE HABARI cha saa mbili na robo usiku idhaa ya taifa baada ya mazungumzo baada ya habari.kilikuwa kinaelimisha ukizingatia wakati huo hakukuwa na internet wala simu wala televisheni.ilikuwa ni idhaa ya taifa na ya biashara kwa RTD Na usiku ukibahatisha Masafa ya AM na SW Unapata KBC Na BBC au DW.Pole bwana Wakati pale TRA,Jamaa,Wanandugu wote na watanzania wote
 
Apumzike kwa amani.

Alikuwa mmoja wa waasisi wa uandishi Tanzania, na atakumbukwa na wadau wa habari na wananchi kwa ujumla.

Wanahabari wa enzi zile, hata hivyo, hawakupata nafasi ya ku live up to their full potential. Walikuwa wanatumikia a state-run press under Nyerere regime, a semi-autocratic ruler who tolerated little objectivity or criticism in news coverage.

Hivyo, mwanahabari wa Radio Tanzania ya David Wakati hakuwa mtu huru, na mwandishi asiye huru ni mwandishi ovyo. Waandishi wote wa zama zile za David Wakati wakawa waandishi ovyo, japo si kosa lao.
[/QUOhhuna maana. Kama halikuwa kosa lao unawalaumu nini?walikuwa sahihi kwa wakati wao!
 
Kufuatia kifo cha Mtangazaji Mkongwe nchini Mzee David Wakati, Mwanae wa kwanza, Mandela David Wakati, amezungumzia kifo cha baba yake kama alivyohojiwa na Hassan Mhelela wa BBC Swahili.

Pia mtangazaji mkongwe mwingine, Danstan Tido Mhando nae ametoa wasifu wa Mzee David Wakati katika mahojiano hayo.

Mandela na nduguzo, poleni sana!
RIP Mzee David Wakati!.

Pasco.

Attachment inafuatia...
 
Mkuu Pasco,

Tujuze wasifu wa David Wakati.


Kufuatia kifo cha Mtangazaji Mkongwe nchini Mzee David Wakati, Mwanae wa kwanza, Mandela David Wakati, amezungumzia kifo cha baba yake kama alivyohojiwa na Hassan Mhelela wa BBC Swahili.

Pia mtangazaji mkongwe mwingine, Danstan Tido Mhando nae ametoa wasifu wa Mzee David Wakati katika mahojiano hayo.

Mandela na nduguzo, poleni sana!
RIP Mzee David Wakati!.

Pasco.

Attachment inafuatia...
 
Majina haya! Mie nkajua mzee madiba!
 
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa kweli!!
Bwana ametoa na Bwana ametwaa

Shadow, hii ni attachment ya mwanae Mandela akizungumzia kifo cha Baba yake na Tido Mhando akitoa tribute.
 

Attachments

hhuna maana. Kama halikuwa kosa lao unawalaumu nini?walikuwa sahihi kwa wakati wao!
Nimeeleza fact, sijawalaumu. Nimesema waandishi wa wakati wa utawala wa kifalme wa Mwalimu Nyerere hawakupata nafasi ya kuwa waandishi huru. Na mwandishi asiye huru ni mwandishi mbovu. Ulikuwa huwezi kuleta chokochoko za u-objectivity kwenye radio Tanzania ya Mwalimu Nyerere.

David Wakati alirithi ukurugenzi kutoka kwa mwalimu wangu Mzee Kazibure ambae alijaribu kujifanya yuko huru huru RTD, na yaliyomkuta akaishia kuwa ticha wa tuition za physics and everbody knows the storyline.
 
Nipe Habari... kipindi cha Saa 2 na 30 Kila Jumapili kilimalizikia... "Mungu akipenda tutaonana tena jamani Mungu akipenda tutaonana tena..."
 
Mwenyezi Mungu Aiweke Roho ya Marehemu Pahari Panapostahiri.

Kila mtu atauchukua Mzigo wake mwenyewe Mbele za Mungu siku hiyo ikifika.
 
RIP Mzee DW.
Nawaomba hawa hapa waseme chochote.



  1. bokoman mkongoma,
2. chidi chidi chitenda,
3. wajadi fundi,
4. limonga justin limonga,
5. chivalavala S. Chivalavala,
6. Issa Hassan Majeshi,
7. Jangala Kilongosi,
9. Thomas Mushi Kimboka
10. Zakaria Ndemfoo
 
hu, Dec 1st, 2011
Thu, Dec 1st, 2011 | Tanzania


David-Wakati.jpg


The late David Wakati

A former Radio Tanzania Dar es Salaam ( RTD) director, now Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Mr David Wakati died inDar es Salaam on Thursday after long battle with diabetes.

TBC Director General, Mr Clement Mshana said in
Dar es Salaam on Thursday that Wakati died on Thursday morning while undergoing treatment at Regency Hospital in the city.

"He was admitted there since Friday following long illness which was precipitated by a stroke and a long battle with diabetes. He was in a comma," he said.

He said that burial arrangements were being made at the deceased's son's home in Masaki and that he would be buried at Kinondoni Cemetery on Sunday.

The late Wakati is one of the renowned radio presenters the country has ever had. He was the founder director of TBC then Radio
Tanzania Dar es Salaam (RTD) now TBC Taifa.

During his days, Wakati also worked with Radio Deutsche Welle Swahili Service in Bonn, German.
Source
Tanzania Daily News

 
Nyerere alimpenda kumtangazia itikadi zake radioni
 
Back
Top Bottom