Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,007
- 3,343
Ni kama una HOJA kuntu
Kuna vitu ni principal, hamuwezi kubishana kwa hivyo, Mungu ndie Muumba wa mbingu na nchi na kili kilichomo ikiwemo serikali za mataifa, yaani The Almighty God, the creator!, shetani, the devil, can not create anything, ila ni the destroyer, to destroy everything God has created!, ila ili shetani aweze ku destroy, ni lazima Mungu amruhusu!. Ni Mungu alimruhusu shetani kumtempt Eva akamega lile tunda!, ni Mungu alimruhusu shetani kumtempt Cain amuue Abel, Ayubu,, Isaka akaiba uridhi wa Essau, Daudi akamtamani mke wa Uria, akamuua Uriah na kumtwaa mkewe kumfanya mke wake.Tunatofautiana kwa hilo serikali hii ya Samia ya sasa imewekwa na mashetani nantuombe Mungu atuepushe na mashetani. Watu binafsi inawezekana wametubu kivyao na ni watu wa Mungu lakini hii serikali ni ya mashetani. Wewe baki na msimamo wako na mimi wangu
Kibali wewe na familia yako. Sisi wengine hapana! Hatujamchagua na wala hapa kuwa na uchaguzi TanzaniaMkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hikiKuna vitu ni principal, hamuwezi kubishana kwa hivyo, Mungu ndie Muumba wa mbingu na nchi na kili kilichomo ikiwemo serikali za mataifa, yaani The Almighty God, the creator!, shetani, the devil, can not create anything, ila ni the destroyer, to destroy everything God has created!, ila ili shetani aweze ku destroy, ni lazima Mungu amruhusu!. Ni Mungu alimruhusu shetani kumtempt Eva akamega lile tunda!, ni Mungu alimruhusu shetani kumtempt Cain amuue Abel, Ayubu,, Isaka akaiba uridhi wa Essau, Daudi akamtamani mke wa Uria, akamuua Uriah na kumtwaa mkewe kumfanya mke wake.
Ni Mungu alimruhusu shetani kumtempt Lutu akawalala binti zake B, akawa B, na kuwatundika wote wawili!. Kila ubaya unaofanywa na shetani ni Mungu anaruhusu!, Ni Mungu ndio huweka serikali za mataifa na kumruhusu shetani kuwaingia hao viongozi na kufanya ushetani.
Kukubaliana kutokubaliana ni very healthy kwenye mijadala.
P
Vijana wa nyamitako mnajitaidi...Sana. huyu Mzee ni Mhuni na NimalayaKabla haujamuita mzee butiku mhuni, jitafakari maswali haya
1. Babako au wewe mmewahi kupata nafasi kama ya mzee butiku?
2. Ni lini ulimuona mzee butiku mhuni? Akiwa anakusapoti uhayawani wako ni mzee mwenye busara, akienda kinyume anakuwa mhuni, sasa kati yako wewe anayekutangisha tangisha mawazo au yeye nani mhuni?
3. Tabia za nyumbu ni kutangishwa tangishwa tu! Yoyote mnafuata mkumbo
4. Wahuni ni wale walioenda kutafuta katiba kule kwenye miundo mbinu ya sgr, dart, tra tanesco halafu wakakutana na wenye wajibu wa kulinda hvo vitu.
5. Wahuni ni wale walienda kutafuta tume ya uchaguzi kwenye maduka ya simu na cafetaria ya shilole
Anyway
Achana na mzee butiku
Heshimu maisha yako
Tii sheria na mamlaka za nchi
Fanya kazi ujiongezee kipato
Acha kuzungumzia wale wahuni waliokula misumari, hao walisha umaliza mwendo salama.
Acha kulilia vibaka waliozikwa, inawezekana hata wewe wangekufikia, wenye wajibu wakakusaidia kuzuia uharifu huo.
Unamuita mhuni na malaya ameisha kugonga?Vijana wa nyamitako mnajitaidi...Sana. huyu Mzee ni Mhuni na Nimalaya
Kabla haujamuita mzee butiku mhuni, jitafakari maswali haya
1. Babako au wewe mmewahi kupata nafasi kama ya mzee butiku?
2. Ni lini ulimuona mzee butiku mhuni? Akiwa anakusapoti uhayawani wako ni mzee mwenye busara, akienda kinyume anakuwa mhuni, sasa kati yako wewe anayekutangisha tangisha mawazo au yeye nani mhuni?
3. Tabia za nyumbu ni kutangishwa tangishwa tu! Yoyote mnafuata mkumbo
4. Wahuni ni wale walioenda kutafuta katiba kule kwenye miundo mbinu ya sgr, dart, tra tanesco halafu wakakutana na wenye wajibu wa kulinda hvo vitu.
5. Wahuni ni wale walienda kutafuta tume ya uchaguzi kwenye maduka ya simu na cafetaria ya shilole
Anyway
Achana na mzee butiku
Heshimu maisha yako
Tii sheria na mamlaka za nchi
Fanya kazi ujiongezee kipato
Acha kuzungumzia wale wahuni waliokula misumari, hao walisha umaliza mwendo salama.
Acha kulilia vibaka waliozikwa, inawezekana hata wewe wangekufikia, wenye wajibu wakakusaidia kuzuia uharifu huo.
Chizi karogwa tena ni kama butiku ambaye ni chizi aliyezeekaKabla haujamuita mzee butiku mhuni, jitafakari maswali haya
1. Babako au wewe mmewahi kupata nafasi kama ya mzee butiku?
2. Ni lini ulimuona mzee butiku mhuni? Akiwa anakusapoti uhayawani wako ni mzee mwenye busara, akienda kinyume anakuwa mhuni, sasa kati yako wewe anayekutangisha tangisha mawazo au yeye nani mhuni?
3. Tabia za nyumbu ni kutangishwa tangishwa tu! Yoyote mnafuata mkumbo
4. Wahuni ni wale walioenda kutafuta katiba kule kwenye miundo mbinu ya sgr, dart, tra tanesco halafu wakakutana na wenye wajibu wa kulinda hvo vitu.
5. Wahuni ni wale walienda kutafuta tume ya uchaguzi kwenye maduka ya simu na cafetaria ya shilole
Anyway
Achana na mzee butiku
Heshimu maisha yako
Tii sheria na mamlaka za nchi
Fanya kazi ujiongezee kipato
Acha kuzungumzia wale wahuni waliokula misumari, hao walisha umaliza mwendo salama.
Acha kulilia vibaka waliozikwa, inawezekana hata wewe wangekufikia, wenye wajibu wakakusaidia kuzuia uharifu huo.
Acha kuwa nguruwe ambaye hata mavi yake anakula au huko ccm wote akili zenu ni kama za nguruwe.Unamuita mhuni na malaya ameisha kugonga?
La msingi acha kukaza fuvu, tii sheria za nchi, jishughulishe, acha propaganda za walio nyuma ya nondo
Acha kuwa nyumbu, jisimamie, pga kazi tafuta pesa acha ujinga.
Butiku anatumia jina la mwalimu Nyerere kama kitega uchumi!! Hana hadhi na ndio maana kwa ubadhirifu wake taasisi ya mwalimu Nyerere ilinyang’anywa usimamizi wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundi!! Huyu Mzee hafai hata nusu.nani amempa mamlaka ya kuwasemea watanzania, aende akacheze na vitukuu vyake.
Mkongwe Mungu gani huyo anaweka mamlaka kwa ulaghai na wizi wa kura hapana ni wanadamu flani wachache wenye kujiona wao ndo sauti ya wengi wameamua hakuna kitu watu watatufanya maadamu vyombo vya ulinzi viko chini yao. Mungu gani asiyependa haki au miungu watu hao?Kuwe na uchaguzi, kusiwe na uchaguzi, anayeziweka serikali za mataifa ni Mungu pekee!. Hata serikali za kidikiteta, hata serikali za kidhalimu, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa yote!. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
soma kitabu cha wafalme ndio utaelewa hata viongozi wabaya huwekwa na MunguMkongwe Mungu gani huyo anaweka mamlaka kwa ulaghai na wizi wa kura hapana ni wanadamu flani wachache wenye kujiona wao ndo sauti ya wengi wameamua hakuna kitu watu watatufanya maadamu vyombo vya ulinzi viko chini yao. Mungu gani asiyependa haki au miungu watu hao?
huyu mzee anawaza kupiga pesa kutumia kivuli cha maridhiano ndio maana anatapatapa mara aite kikao cha wazee i njaa zinamsumbua.Butiku anatumia jina la mwalimu Nyerere kama kitega uchumi!! Hana hadhi na ndio maana kwa ubadhirifu wake taasisi ya mwalimu Nyerere ilinyang’anywa usimamizi wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundi!! Huyu Mzee hafai hata nusu.