kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 17,678
- 21,905
acheni kumwita mzee iteni muhuni mana leo lile kesho hili
Kwa hiyo Mungu, muweza wa yooote alishindwa kufuata njia nyingine yoyote ila kuruhusu yatokee yaliyotokea October 29.Kuwe na uchaguzi, kusiwe na uchaguzi, anayeziweka serikali za mataifa ni Mungu pekee!. Hata serikali za kidikiteta, hata serikali za kidhalimu, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa yote!. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Msilazimishe Watanzania kukubali uongo hakukuwa na Chaguzi Tanzania. Mnaongelea Mungu wakati mnaongelea uongo Mungu hapendi uongo
Huu ujumbe wapewe wale wa kanisa la mitume maana hawana Cha kumfanya na huyo ndio Rais Hadi 2030.Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Anajitahidi kulazimisha afanane na Mwalimu Nyerere kuanzia Kuhutubia, kujenga Hoja na kuvutia Hadhira ila kote hapatii na anaharibu tu.Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Kuwe na uchaguzi, kusiwe na uchaguzi, anayeziweka serikali za mataifa ni Mungu pekee!. Hata serikali za kidikiteta, hata serikali za kidhalimu, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa yote!. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Kuna maovu mengi yanatokea duniani, kwa kumruhusu shetani kufanya yake,Kwa hiyo Mungu, muweza wa yooote alishindwa kufuata njia nyingine yoyote ila kuruhusu yatokee yaliyotokea October 29.
Ili tu amuweke samuya madarakani???
Anayeweka serikali za mataifa ni Mungu tuu, ila humruhusu shetani kuwarubuni watu wa Mungu na kutenda mambo ya kishetani!.Mungu hajaweka hii serikali bali ni shetani ingawa naye shetani kaumbwa na Mungu.
Kuna maovu mengi yanatokea duniani, kwa kumruhusu shetani kufanya yake,
Anayeweka serikali za mataifa ni Mungu tuu, ila humruhusu shetani kuwarubuni watu wa Mungu na kutenda mambo ya kishetani!.
P