Selo ya gereza gani mkuu?Huyo polepole aliendeshwa na hisia za kipuuzi sijawahi ona, kijamaa kiliona km Tz ni ya baba yake . Leo kipo sero kinanyea debe.
huyo mungu ulimuona?Kuwe na uchaguzi, kusiwe na uchaguzi, anayeziweka serikali za mataifa ni Mungu pekee!. Hata serikali za kidikiteta, hata serikali za kidhalimu, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa yote!. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Mungu haonekani, na ukimsikia mtu yeyote amesema amemuona Mungu, ujue aliyemuona ni shetani. Mungu una m feel kuusikia uwepo wake ndani yako, na kuisikia sauti ya ndani yako ambayo ndio sauti yake, the voices from within.huyo mungu ulimuona?