Mzee brazameni si muchezo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Picha inajieleza hivi wazee hawa hawakufanya hivi vitu ujanani?

mzee.jpg
 
Atakuwa either ni baharia au dereva wa treni.ndo hawazeekagi hawa jamaa.
 
ABBY SYKES!huyu kafanya ujana toka tumboni kwa mama yake na mpaka anarudi mavumbini,kuna watu wamezaliwa hivyo,ila jamaa ni mtu poa sana yaani ukikaa nae huchelewi kuondoka na ambulance kwa ajali ya kuvunjika mbavu.maana ana viroja na story za visa vya ajabu ajabu mpaka basi.:smile-big:
 
Wanasaikolojia wanasema kuwa, mtu anavyoonekana nje ndio taswira ya fikra zake. Huyo baba ni mzee kwa umri lakini mawazo na fikra zako ndo unavyoona.
 
ana sauti nzuri sana ya kuimba ila sijui kwa nini hatumsikii. aige mfano wa zahir ali zoro
 
hahahah imagine ndio dingi huyu:becky::glasses-nerdy:

imagine ni mkweo na mumeo kasafiri kamwacha home wewe na yeye. na ni mara yako ya kwanza kumwona na ukaambiwa hata mama wa mumeo alitelekezwa. Mzee enzi za ujana wake alikuwa yeye na totoz kwenda mbele.
unaweza kupata usingizi au utalala Group four?
 
Back
Top Bottom