Mbona kama amevaa hirizi shingoni?
Mzee Abby Sykes!Baba yake na Dully Sykes.Anaishi katika kile anachokiamini na kinachomfurahisha,kwa hilo namvulia kofia.Ana sauti nzuri na ni mpigaji gitaa....
hahahah imagine ndio dingi huyu:becky::glasses-nerdy:
INAONEKANA HUYO MZEE ATA FAMILIA HANA:hug:
Mzee Abby Sykes!Baba yake na Dully Sykes.Anaishi katika kile anachokiamini na kinachomfurahisha,kwa hilo namvulia kofia.Ana sauti nzuri na ni mpigaji gitaa....
Huyo ndio baba'ke dully sykes.
Sio utani.