Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
.....Mmmmh! Ngoswe, Cheupe Dawa, wakuja...Isidingo nyuma mbali. Shikamoo Mshana
.....kidawa
.....Mmmmh! Ngoswe, Cheupe Dawa, wakuja...Isidingo nyuma mbali. Shikamoo Mshana
CC: VUTA-NKUVUTETuhuma ni tuhuma tuu... Lakini kwangu tuhuma zisizothibitika wala kuthibitishwa zinabaki kuwa uzushi.... Na mimi sina kaliba na uzushi.... Sijui nini kilinipelekea kukumbuka riwaya ya Ngoswe... PENZI KITOVU CHA UZEMBE... Dah nikayakumbuka ya kudamka alfajiri na mapema kwenda kule kilimani kumuona cheupe dawa... Si adhabu hii jamani... Mateso bila chuki... Kiroho safi kabisa... Hongera mzee baba... Hongera cheupe....
Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....
mzee baba huku kwenye chama la wana hali si shwari... Wanachonga waziwazi sasa hivi... Hawana shukrani na hawana upendo kwa wageni.. Kwao wao mgeni ni siku ya kwanza tuu... Sasa wnalalamikia uwingi wa wageni... Wenyewe wanawaita wakuja.. Wanawaita mizigo... Wanawaita wadekaji.... Hali si shwari sana pakacha limeanza kuvuja....
Mkubwa mpya wa usalama wetu Barabarani naye kaharibu... Japo ndio kutenda kwa weledi... Anapingana na dhana ya kukusanya mapato yetu ili kibubu kitune... Wanakaya wamemfurahia sana... Hakuna tena kutoza faini za kijinga... Kwahiyo hapa hakuna tena viwango elekezi vya kukusanya kwa siku wiki hata mwezi... Wanakaya wamepata mkombozi hatimaye... Mungu naye hujibu maombi kwa wakati wake....!!!!... Ila zile mbwembwe za jeshi la polisi kujivunia kuwa mwezi huu wamekusanya billion ngapi zitakoma.. Wao sio kitengo cha mamlaka ya mapato.. Faini za uonevu kwishney....
Mzee baba pakacha limeanza kuvuja... Wameanza kupambana na wewe... Mbwa anataka kula mbwa... Filamu ya half ray imedoda... Ile ya viongozi 20... Filamu ya nabii Tito imechacha.. Wanakung'ong'a.. Kikulacho ki nguoni mwako... Wasikupake mafuta kwa mgongo wa chupa..... Ni wanafique
Uliyasikia ya Benedict ? Yule mtia nia?
Uliyasikia ya Nnauye Jr?
Uliyasikia ya bwana Ole ?
Umeyasikia ya Riz moko?
Wote wametoa ya moyoni halafu wakakana lakini neno likitoka limetoka ni kama risasi haina rivasi.... Basi ndio hivyo mzee baba... Hao wote ni kiwakilishi cha wengi ndani ya chama la wana...pakacha limeanza kuvuja... Naamini halijasababishwa na Ngoswe.... Inatosha tu kusema.... MATEMBELE ni MATAMU....!!!!
Eti eti eti wanaimba wanasema "matembele matamu kama mke wa jirani"
Eti ndo wameimba ivyo Eti![]()
![]()
![]()
![]()
Ujumbe umefika mkuu, cheupe dawa amefanya makubwa. Kule Gemstones mzee baba ameshikilia mwenyewe, cheupe akitekeleza majukumu ya kulea kichanga.
ivi mnamuamin sana yule mkimbizi kule kwa trump?huu ni mtandao unasomeka hadi MarsWe haya Balozi wetu anasoma haya au hayupo tena nchini?
Nyinyi ndiyo watu msiojulikana?Tunafuatilia kwa karibu comments zako.tumeshafahamu ulipo
Tupe ndogo ndogo, Je ni mtaa upi huko wazo? Karibu na kiwanda au Kwa kawawa?wakaazi jirani tunafaidi matunda ya uhuru via binti Salim aka cheupe
upo sahihi Salim mwanadiplomasia mahiri
wakaazi jirani tunafaidi matunda ya uhuru via binti Salim aka cheupe
Nawaomba muwe makini na comments zenu... Isije kuonekana kuna watu mnawakashifu... Hali ni tete na bado tunahitaji kuonana JF.....Tupe ndogo ndogo, Je ni mtaa upi huko wazo? Karibu na kiwanda au Kwa kawawa?

Tatizo ninalo liona hapa ni kuwa huyu baba ataelewa kweli ulichoandika? Maana watu wameandika sana lakini nadhani uwezo unaishia kwenye difinisheni ya katalistiTuhuma ni tuhuma tuu... Lakini kwangu tuhuma zisizothibitika wala kuthibitishwa zinabaki kuwa uzushi.... Na mimi sina kaliba na uzushi.... Sijui nini kilinipelekea kukumbuka riwaya ya Ngoswe... PENZI KITOVU CHA UZEMBE... Dah nikayakumbuka ya kudamka alfajiri na mapema kwenda kule kilimani kumuona cheupe dawa... Si adhabu hii jamani... Mateso bila chuki... Kiroho safi kabisa... Hongera mzee baba... Hongera cheupe....
Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....
mzee baba huku kwenye chama la wana hali si shwari... Wanachonga waziwazi sasa hivi... Hawana shukrani na hawana upendo kwa wageni.. Kwao wao mgeni ni siku ya kwanza tuu... Sasa wnalalamikia uwingi wa wageni... Wenyewe wanawaita wakuja.. Wanawaita mizigo... Wanawaita wadekaji.... Hali si shwari sana pakacha limeanza kuvuja....
Mkubwa mpya wa usalama wetu Barabarani naye kaharibu... Japo ndio kutenda kwa weledi... Anapingana na dhana ya kukusanya mapato yetu ili kibubu kitune... Wanakaya wamemfurahia sana... Hakuna tena kutoza faini za kijinga... Kwahiyo hapa hakuna tena viwango elekezi vya kukusanya kwa siku wiki hata mwezi... Wanakaya wamepata mkombozi hatimaye... Mungu naye hujibu maombi kwa wakati wake....!!!!... Ila zile mbwembwe za jeshi la polisi kujivunia kuwa mwezi huu wamekusanya billion ngapi zitakoma.. Wao sio kitengo cha mamlaka ya mapato.. Faini za uonevu kwishney....
Mzee baba pakacha limeanza kuvuja... Wameanza kupambana na wewe... Mbwa anataka kula mbwa... Filamu ya half ray imedoda... Ile ya viongozi 20... Filamu ya nabii Tito imechacha.. Wanakung'ong'a.. Kikulacho ki nguoni mwako... Wasikupake mafuta kwa mgongo wa chupa..... Ni wanafique
Uliyasikia ya Benedict ? Yule mtia nia?
Uliyasikia ya Nnauye Jr?
Uliyasikia ya bwana Ole ?
Umeyasikia ya Riz moko?
Wote wametoa ya moyoni halafu wakakana lakini neno likitoka limetoka ni kama risasi haina rivasi.... Basi ndio hivyo mzee baba... Hao wote ni kiwakilishi cha wengi ndani ya chama la wana...pakacha limeanza kuvuja... Naamini halijasababishwa na Ngoswe.... Inatosha tu kusema.... MATEMBELE ni MATAMU....!!!!
Nini? wasiojulikana?Nawaomba muwe makini na comments zenu... Isije kuonekana kuna watu mnawakashifu... Hali ni tete na bado tunahitaji kuonana JF.....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We haya tutayasikia mengi toka jupiter.huu ni mtandao unasomeka hadi Mars
Dawa imekuingiahahahaha Bavicha mnajua kujifurahisha leo hii hata huyu mchawi eti naye ana aminika kwa story za vijiweni hahahaha
Bado nashangaa kwa na kujiuliza kwa JF wameanza kuruhusu taka taka kama hizi za kudhalilisha watu kwa uzushi.....

Ukishafahamu alipo utamfanya nini, badala ya kufuatilia miradi yako wewe unakesha kufuatilia komenti za watu, poor.Tunafuatilia kwa karibu comments zako.tumeshafahamu ulipo
Mtani acha Uchochezi
Hawa wazee ni wahuni