Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,057
- 828,861
- Thread starter
- #241
kabombe with all due respect naomba nikufahamishe jambo.. Nadhani unazifahamu hizi SCANIA za kisasa... Hizi gari zina gia 12.... 6low... 6high.. Combination ya hizi gears ndio zinaleta upekee kwenye hizo gari.... Huwa tuna tabia ya kudharau namba sifuri... Lakini tarakimu haziwezi kukamilika bila sifuriToo low kiongozi
ntakuja na jichawa hybrid jeupee... Malazi vepee?