Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

In every action there is equal and opposite reaction..what goes around comes around!
Karma is a bitch!
 
Ni mwendo wa kufyatua tuu... [emoji23] [emoji23] [emoji23]... Neno linasema.. Basi zaaneni mkaongezeke muijaze dunia.... Ilikuwa ni pale bustani ya Eden
Hahaa umenifurahisha na hlo neno FYATUA. nilikowah kulisikia sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa ni kumchana mzee baba ni kupitia tweeter, then tunawasingizia wadukuzi kama alivyo fanya Riz1...[emoji12] [emoji12]
Kwani DaMange kasemaje...??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti da Mange kasemaje kwani??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti da Mange kasemaje kwani??
Ndio Dada namba 1 hapa nchini, maana yeye ndie alietuletea habari ya MAMA wa 1 kupewa kichapo kutoka kwa MZEE BABA hadi kusababisha apelekwe kulazwa MUHAS kwa MGANGA eti kwa kisingizio cha UZALENDO
 
Ndio Dada namba 1 hapa nchini, maana yeye ndie alietuletea habari ya MAMA wa 1 kupewa kichapo kutoka kwa MZEE BABA hadi kusababisha apelekwe kulazwa MUHAS kwa MGANGA eti kwa kisingizio cha UZALENDO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom