samweli msigwa
Member
- Mar 11, 2015
- 30
- 17
- Thread starter
- #21
Namzazi akijua umepata kazi ukimwambia sina Pesa hakuelewi kelele zinaanza anisaidii atakua ana honga Sana'a huyu mjini kuna mchanganyaNi wajibu wa lazima kwa mzazi kumhudumia mtoto.
Ila siyo jukumu kisheria kwa mtoto kumhudumia mzazi.
Mtoto anawajibika kimila tu kwa mzazi katika kumsaidia ila siyo kisheria.
Mzazi hawezi kumshitaki mtoto kwa kutokumhudumia.
Hii ni changamoto sana kwa vijana, bado kuna wazazi wana fikra za kijima kwamba wamezaa ili wapate wa kuwahudumia kila kitu.
Yaani, umlipie bill ya umeme, chakula , pombe, mavazi, vocha, na malazi.
Yaani, unabeba jukumu, hili siyo sawa.
Kuna kumsaidia mzazi pale hali ikiruhusu ila kuna wengine wanataka wakupruni kila kitu yaani kwa mwezi unatuma hata laki mbili mfano, wakati unalipwa laki tano.