Mzazi kuaanza kukutegemea wewe kwa kila kitu bila kujali mshahara wako mdogo

Mambo kama haya yafungue fikra za watu kuwa na watoto wachache ili wajiandalie na maisha yao ya uzeeni pia.
 
Wewe mzazi kakulea,kakusomesha
Wazazi wanawekeza kwa watoto ili
Badaye,muwasaidie
Lakini naona mtoto umedinda kuwapa
Msaada unaona usumbufu

Ova
 
Kulea na kuhudumia mtoto uliyezaa sio uwekazaji ni kuhudumia kile kilichotokana na starehe yako.
Wewe mzazi kakulea,kakusomesha
Wazazi wanawekeza kwa watoto ili
Badaye,muwasaidie
Lakini naona mtoto umedinda kuwapa
Msaada unaona usumbufu

Ova
 
Back
Top Bottom