Upo Dunia gani jombaa,Maghu alikuwa mpuuzi tu,unamnyimaje mwafrika mwenzio kazi kisa hajuhi kiswahili,na sio raia?,watu wanaajiriwa kwa taaluma na cv zao,sio uzawa!!Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.
Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Hivi wanaume nao wamekuwa wambea!? 😱😱Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.
Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Kuna tofauti ndogo sana kati ya yanga na ccmTanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.
Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Kusimamia sera, kuingia mikataba na wadhamini, kusimamia mapato kumemshinda Mtanzania ?Upo Dunia gani jombaa,Maghu alikuwa mpuuzi tu,unamnyimaje mwafrika mwenzio kazi kisa hajuhi kiswahili,na sio raia?,watu wanaajiriwa kwa taaluma na cv zao,sio uzawa!!
Wachina wapo wengi bongo,na hawajuhi kiswahili,lakini ndio wanatujengea miundombinu!,vibarua wao wengi ni vijana darasa la saba ambao hawajawahi kuongea kizungu,ni Swahili tu,sasa unafikiri wanawasiliana vipi?
Usiwe na fikra fupi,CEO haajiriwi Ili akakae kwenye vijiwe vya kahawa pale jangwani!!huyu ni mkurugenzi,mtendaji mkuu,anaangalia,sera,mapato,kuingia mikataba na wadhamini,kuajiri nk,sio kupiga soga vijiweni
Ficha umbumbumbu ulionao.Kusimamia sera, kuingia mikataba na wadhamini, kusimamia mapato kumemshinda Mtanzania ?
Huwezi kukuta Mchina wa Gwanzuu kaletwa na Visa UK kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Man U na Kiingereza hajui.
Au Mhindi wa Bombay awe imported kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa New York Yankees wakati kuna Wamarekani milioni 100 wanaweza kazi hiyo.
Never, ever!
Kuna tofauti ndogo sana kati ya yanga na ccm
Aisee...Kuna tofauti ndogo sana kati ya yanga na ccm
Ulitaka akae mtz baada ya kufanya kazi wangeanza majungu tuu bora tuwaajili hao hao wa nje...Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.
Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.
Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
We don't expect such kind of response from a senior, respected member like youKuna tofauti ndogo sana kati ya yanga na ccm