Mzalendo Pombe Magufuli asingempa VISA Mzambia kuwa CEO Yanga

espy

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
284
516
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?

Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.

Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu Jangwani hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.

Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
 
Mambo ya Yanga yanawatesa na kuwakereketa sana wanaSimba kuliko ya Simba... Ni sawa na kusema harufu ya biriani nyumba ya jirani inamkera sana jirani kuliko mwenye nyumba ambapo biriani inapikwa...

Shida ni nini..??

Maana ni nadra sana kukuta watu wa Yanga kuongelea Mambo ya Simba... Lakini hili ni karibu Mada ya 5 kwa siku kumuongelea mtu mmoja
 
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?

Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.

Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.

Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Upo Dunia gani jombaa,Maghu alikuwa mpuuzi tu,unamnyimaje mwafrika mwenzio kazi kisa hajuhi kiswahili,na sio raia?,watu wanaajiriwa kwa taaluma na cv zao,sio uzawa!!
Wachina wapo wengi bongo,na hawajuhi kiswahili,lakini ndio wanatujengea miundombinu!,vibarua wao wengi ni vijana darasa la saba ambao hawajawahi kuongea kizungu,ni Swahili tu,sasa unafikiri wanawasiliana vipi?
Usiwe na fikra fupi,CEO haajiriwi Ili akakae kwenye vijiwe vya kahawa pale jangwani!!huyu ni mkurugenzi,mtendaji mkuu,anaangalia,sera,mapato,kuingia mikataba na wadhamini,kuajiri nk,sio kupiga soga vijiweni
 
Hivi wanaume nao wamekuwa wambea!? 😱😱
 
Kuna tofauti ndogo sana kati ya yanga na ccm
 
Upo Dunia gani jombaa,Maghu alikuwa mpuuzi tu,unamnyimaje mwafrika mwenzio kazi kisa hajuhi kiswahili,na sio raia?,watu wanaajiriwa kwa taaluma na cv zao,sio uzawa!!
Wachina wapo wengi bongo,na hawajuhi kiswahili,lakini ndio wanatujengea miundombinu!,vibarua wao wengi ni vijana darasa la saba ambao hawajawahi kuongea kizungu,ni Swahili tu,sasa unafikiri wanawasiliana vipi?
Usiwe na fikra fupi,CEO haajiriwi Ili akakae kwenye vijiwe vya kahawa pale jangwani!!huyu ni mkurugenzi,mtendaji mkuu,anaangalia,sera,mapato,kuingia mikataba na wadhamini,kuajiri nk,sio kupiga soga vijiweni
Kusimamia sera, kuingia mikataba na wadhamini, kusimamia mapato kumemshinda Mtanzania ?

Huwezi kukuta Mchina wa Gwanzuu kaletwa na Visa UK kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Man U na Kiingereza hajui.

Au Mhindi wa Bombay awe imported kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa New York Yankees wakati kuna Wamarekani milioni 100 wanaweza kazi hiyo.

Never, ever!
 
Ficha umbumbumbu ulionao.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    9.5 KB · Views: 5
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    9.9 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    32.4 KB · Views: 5
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    30.1 KB · Views: 3
Ushabiki mwingine balaa
Simba tulikuwa na Senzo kabla hajahamia utopoloni je alikuwa mbongo?
Makocha warundi, waarabu, wazungu wanakuja hapa na wengine hata kiingereza hawajui achilia mbali kiswahili je hawafanyi kazi zao?
Hoja yako imekaa kishabiki na upuuzi mwingi
 
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?

Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.

Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.

Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
Ulitaka akae mtz baada ya kufanya kazi wangeanza majungu tuu bora tuwaajili hao hao wa nje...
Watz nafasi zetu kwenye timu ni usemaje na kuhamasisha maana hizo ndio nafasi nzuri kwa majungu na vijembe...
Safi yangaa
 
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?

Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.

Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi Kitenge anampa maneno ya kuongea ya Kiswahili. Kwa hiyo mijadala ndani ya Yanga itakuwa inampita, kwa sababu pale Jangwani Kariakoo hakunaga mjadala wa Kingereza. Hakukuwa na haja.

Pombe Magufuli aliyewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele anabiringika kaburini.
kuna mada zinachekesha kama hii

Sio lazima upinge kila kitu sa nyingine utaonekana mjinga tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom