Mzalendo asiyependa kukaguliwa....

Mzalendo asiyependa kukaguliwa....

"Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu". Zitto Kabwe.

Connect the connections between Rais - CAG - Spika.
Kwa hiyo kiini cha hasira ya CAG,ni ripoti yake kufungiwa maandazi na Spika badala ya kuiwasirisha PAC ili ijadiliwe?
 
Na magufuli kamweka Doto pale hazina makusudi kabisa.mtoto wa dadake wanajichotea tu Fedha za umma.pumbavu
 
Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
Ikiguswa magogoni, inaonekana hasira zinakupanda sana na kupoteza uelekeo?
 
Mambo yapo wazi ukiona watu hawataki kukaguliwa juwa kuna ufisadi umefanyika anatufanya watoto wadogo anatafuta sababu za kijinga ili wasioneshwe madudu yao... nimeumia sana kwa jinsi Spika anavyotuchezea akili kila kukicha...
 
Back
Top Bottom