DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
Aisee kumbeeeHatuwezi kujua wanachotaka kuficha kwani si mnajua kuwa PAYMASTER GENERAL ni mtoto wa dada yake JIWE!!!
Aisee kumbeeeHatuwezi kujua wanachotaka kuficha kwani si mnajua kuwa PAYMASTER GENERAL ni mtoto wa dada yake JIWE!!!
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya raisBunge linamhitaji CAG hata kwa pingu!? Acha utani boss. Inawezekana siku CDF akilituhumu bunge aitwe na Spika tena akikataa afungwe pingu? Msituone sisi ni wajinga wa hivyo. Kuna ripoti ya 1.5t mpaka leo haijajadiliwa na bunge na spika ndio kikwazo. Je CAG naye aagize spika aitwe kwenye ofisi ya CAG kuonyesha ni kwanini hiyo ripoti haijadiliwi? Jiwe ndio Kampa kiburi spika, na nia ni kumtisha CAG kuhusu 1.5t.
Kwani Ndugai cheo chake ni kipi hasa?jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais
WaTz tuna ugonjwa mmoja wa kusahau pindi tulabinshwapo sukari kidogo! CCM na UFISADI - iwe ni ya Nkapa, iwe ya Kikwete, au iwe ya Jiwe - ni kama Samaki na Maji. Samaki hawezi kuishi zaidi ya masaa matatu nje ya maji. Vivyo hivyo, CCm haiwezi ku-survive bila ufisadi (ni utamaduni umejengwa. unaweza kuja kwa majina na kwa namna mbalimbali, lakini ni wizi wa kimfumo). Utamaduni huu hauwezi kutoweka bila CCM kufa kwanza (yaani ikaondolewa madarakani hata kwa muhula mmoja) na pengine ikazaliwa upya huko mbeleni. Ushahidi ni Jiwe, mbali ya kutotaka kukaguliwa (tena kwa mujibu wa Katiba aliyoapa kuilinda) hata kabla ya kuwa rais ameacha stori nyingi huko mawizarani ambazo huibua maswali mengi badala ya majibu - lakini ndiye anyeonekana na kushangiliwa kuwa MZALENDO nambari wani! Kama uzalendo ndio huu, nime-declare sitataka kuwa mzalendo hata siku moja.Acha niwe wakala wa mabeberu.Hii awamu ilijipambanua kwamba inapigana na ufisadi lakini kumbe ni usanii mtupu. CAG kawaumbua
Hizo nguvu wanazitumia kishamba sana kiasi kwamba kila mtu anajua nini wanataka kuficha, kile kitendo cha spika kumuita CAG kwa pingu ndio ushamba wenyewe wa madaraka.Majibu ya hesabu yanatolewa hadharani? Siku ile alienda na vitabu pale? Pale yale majibu aliyompa yaliendana na hadhira na hakuhitaji malumbano maana sio mtu wa malumbano ya kisiasa. Ripoti yake ilionyesha kuna 1.5t isiyo na maelezo mujarabu, mpaka leo kamati ya PAC wamewahi kuitoa bungeni kama inavyopaswa? Hiyo nguvu na jazba ya spika ni kutaka kuficha hayo matumizi mabovu ya pesa ya umma fullstop.
ahhhh hahahh,hizo propaganda tu,hii nchi ikipigwa 1.5 kuna watu hawatalipwa mshahara miezi miwiliMajibu ya hesabu yanatolewa hadharani? Siku ile alienda na vitabu pale? Pale yale majibu aliyompa yaliendana na hadhira na hakuhitaji malumbano maana sio mtu wa malumbano ya kisiasa. Ripoti yake ilionyesha kuna 1.5t isiyo na maelezo mujarabu, mpaka leo kamati ya PAC wamewahi kuitoa bungeni kama inavyopaswa? Hiyo nguvu na jazba ya spika ni kutaka kuficha hayo matumizi mabovu ya pesa ya umma fullstop.
Ilikuwa ni namna nzuri ya kufunga zipuHawamuwezi CAG...
Ndiyo maana hata nanilii kipindi kile alimlazimisha CAG mbele ya hadhara aseme kama hizo pesa 1.5trillion ni kweli hazijulikani zilizpo kibabe sana...
Cc: mahondaw
Ila mzee mapenzi yako, cdhani ata kama mama yako unampenda hivi kama unavyoipenda serikali ya JPM.Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
Mkuu hii statement yako imenifikirisha sana, wengine tunajitahidi kazini tusidokoe hata senti kuonyesha uzalendo kesho unasikia watu wamepiga 1.5T halafu wanapata na watu wa kuwashangilia, mwisho wa siku unajiona fala.Kama uzalendo ndio huu, nime-declare sitataka kuwa mzalendo hata siku moja.Acha niwe wakala wa mabeberu.
ahhhh hahahh,hizo propaganda tu,hii nchi ikipigwa 1.5 kuna watu hawatalipwa mshahara miezi miwili
mbona Polepole aliwaeleza kila kituUnaweza usiipige 1.5t uweke mfukoni yote, lakini unaweza kufanya miradi ya upendeleo na katika hiyo miradi ukala 10% yako. Mfano halisi wa hizo hela ni mradi wa Chattle airport. Tunasema hivi, tunataka kujua 1.5t zilitumika kwenye nini na ruhusa ya nani fullstop. Kitisho cha pingu hakiwatoi. Huyo spika aliyejigeuza PS wa jiwe hana bahati safari hii.
Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
CAG alisema hamna kitu kama hicho ikulu
mbona Polepole aliwaeleza kila kitu