MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,767
Jiwe yuko ikulu sasa hivi anasoma mafaili kuhakikissha hii nchi inakuwa ya asali na maziwa
Jiwe yuko ikulu sasa hivi anasoma mafaili kuhakikissha hii nchi inakuwa ya asali na maziwa
Kitendo cha Spika kumdhalilisha Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali kupitia kwa Spika ina jambo inalificha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye akili ya kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike wizi kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha? Ni uzalendo gani huo sasa wa kutataa kukaguliwa. Kama hamtaki taasisi za serikali zikaguliwe hiyo vita ya UFISADI ni kiini macho tu.
Yaani kama hauoni huko kuitwa tu ni bonge KOSA .... Sasa kama huoni huo ni uvunjifu Wa katiba basi we we ndio tatizojibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
Unavyowaza kuwa hata angechukua hizo 1.57T wengine nao wanawaza tofauti heshimu mawazo yao.Huu ni mtazamo finyu na hatari sana! na ni wa hovyo…ni kama unajitekenya mwenyewe afu unacheka…ukiambiwa jizi sijui utakataa!? Hivi Magu amewakosea nini huyu baba wa wa watu ambaye wakati wote yuko busy akiibuwa mambo yanaoikwamua nchi yetu pendwa tz? Kila muda mnajaribu kumchokonoa na kumtupia kila upuuzi wa kashfa zisizo na maana yoyote. yaani kwangu mie hata kama ingekuwa kweli amechukua hayo ma 1.5T ningeenda kulala kitandani kwangu kwa amani nikijua ataibuka na jambo lenye maslahi mapana ya nchi yangu ya Tz lenye matumizi sawia ya 1.5T! Nyie wenye mawazo ya kumhisihisi vibaya ndio wenye nia ovu, na mshindwe na kulegea!
Rais wetu mpendwa JJPM anahitaji kutiwa moyo sio upuuzi huu wa banyamlenge ambao kucha kuchwa wanatafuta mbinu za kumhujumu! Inanikera mie…basi tu! Eh Mwenyezi Mungu tunaomba uzidi kumtia nguvu na kumuongoza rais wetu mpendwa Dr. JJPM na serikali yake! Mungu tunaomba uzidi ibariki nchi yetu tanzania!Unavyowaza kuwa hata angechukua hizo 1.57T wengine nao wanawaza tofauti heshimu mawazo yao.
ahahah hahah naibu spika ni mzungu,anacheza kila ngoma
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
Hahahahaself proclaiming mzalendo, bila shaka alikaa na mtoto wa shangazi wakapanga matumizi ya kodi za wananchi kanakwamba ni hela walizozipata baada ya kuuza ng'ombe wao. Umefika wakati wa kukaguliwa anafura kwa hasira na kuanza kumtumia yule matonya kumtisha mkaguzi. 2020 wapinzani watamchafua sana na asivyojua kujibu hoja anaweza kufa kwa presha.
Bunge la spika ambaye akitaka kuteua kamati ya Bunge anamwomba Rais amsaidie kuteua?Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
We mtoto acha kupotosha,raisi wako aliuliza kama pesa hizo zimeibwa ndipo CAG akakataa.CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais
Kaitwa Bungeni.......jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
Naibu spika ana maoni gani?
Pale sio mahali pake kubishana na jiwe mwenye mamlaka yaliyopitiliza, CAG amefanya ukaguzi maalum kuhusu 1.5T, ss kabla hajatoa amri ya kumkamata kwa pingu cag, apeleke hiyo ripoti pac ili matukio yaende first come first served!CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais