My wife has spoiled my day!!

mimi naamini kabisa kuwa alipopata wasiwasi na wewe ni wivu tu ambao wewe hukutakiwa kumpa kipondo,ila kwa kumpa kipondo kwangu mimi ndo naweza kuamini kweli ulikuwa na demu,au uikuwa na ahadi na demu halafu huyo demu hakutokea,sasa hasira unamalizia kwa mkeo.kiukweli kabisa km mwanaume ni mlevi,hawezi kwenda kwenye pombe muda mreeefu aone wenzie wanakunywa yeye aangalie tu!sio rahis,usingekaa sana.kama umesimama pombe,maeneo ya pombe yakwepe
 
umempiga then umeharibiwa siku?how?
ye kaifuraia siku?
WAZA UKIWA UMESIMAMA usilale
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.

Pole, ila kipondo siyo solution. Nafikiri ungeweza kumuelewesha kwa upole tu na kisha kumtoa out na kuendelea kutoka naye mara kwa mara ili asiwe na mawazo yasiyo sahihi.
 
Kwanini ulimdrop na ukaenda club alone?
wewe kwanini usingeenda na mkeo?
Tangu lini watu wanaenda club kupiga story?
tangu lini mgogoro ukatatuliwa kwa mangumi?
Ulipoingia kwenye ndoa kumbuka uli surrender part of your sovereignty to her.kubali ukihojiwa kwani ana haki ya kufanya hivyo.
Haya yote umeyaleta mwenyewe na bado wamlaumu mkeo,namuonea huruma kwan she married an immature man.
OTIS

Nakubaliana nawe mkuu

Kweli kwa ubovu wa afya alionao huyu jamaa mke wake anajaribu kuweka mazingira ya kupona kwake kwa kumfuatilia kwa ukaribu ye anatoa kichapo?????
Au ndo unconditioned aggressiveness ya yale mambo???
Hivi wanaume wenzetu.....shule ya kupiga ina theory gani behind?????
Mbona wanawake wengi wanaopigwa ndo kwaaanza hufungua milango kwa urahisi saaana just to get a shoulder to lean on and sympathize with????

OTIS kama vipi tufungue NGO ya kuwanyanyua mioyo wanawake wanaopigwa na waume zao..........King'asti katoa angalizo hapo juu............ bahati mbaya huwa ni kutafuta atayemjali tuuuu

Huyu mtu kaanzisha vita ambayo suluhu ni kwa mume kuomba msamaha.....ambayo ni gharamza zaid kuliko angeyamaliza that day kwa busara ndogo tu ya kunyoosha maneno badala ya kipigo
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Pole. Hebu jipe shida ya kumchunguza ratiba yake ya jana baada ya kumshusha home ilikuwaje. Hii ni kwa sababu. hawa wenzetu akifanya kosa na dhamira yake ikamsuta, huwa wanatamani kuadhibiwa ili maisha yaende mbele.

Pole. If you can take trouble chunguza
 
Insane.......yaaani hata kukumbushwa wajibu ni dalili ya kuwa alifanya kosa?????? Haya ndo matatizo ya jando ya ganzi yaaaani khaaaaa......ntapata ban bure
 
Mwanaume mzima na mananiliu yako unapiga mke??shame!shame!shame!unaaibisha wanaume wenzio!kama nguvu zimekuzidia we nyumba yako imejengwa kwa karatasi au???si upige ukuta?tutakufunga sisi!
 
Hufai hata kuitwa m.mme,kwa kosa gan hilo mpk umpge mkeo na ujicfie mbele za wa2 km ulmpa kpondo.km n mm nilishakimbia kwe2 zaman..JARIBU KU CONTRÖL HISIA ZKO KAKA..cyo unajicfia mambo ya ovyo apa..
 
"Ishini nao kwa akili"
huu mstari umeandikwa kwenye biblia kwa hiyo fsnys hivyo
 
yuko wapi wapi huyo jaman...mwache aje kwangu nimuonyeshe maana ya mimi nae kuwa mwili mmoja, mwache aje nimfute machozi yake! Pliiiz BLUE BALAA ni Pm namba yake basi
 
Last edited by a moderator:
kaka samahani,mimi natafuta mke kama wako ntampenda na kumheshimu sana,maan anaonyesha kujali sana ndoa yake na zaidi mume wake...yesu wangu nipe nami mke kama wa huyu jamaa mtoa vipigo.
 
Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. wanaishi kwa kuhisihisi tu.
Hukupaswa kutoa kipondo how comes unapiga mwili wako mwenyewe 'are u crazy'?
 
katika yote mm siafiki kabsa suala la kumpiga yaan ni bora ungeenda zako tu kwenye shughuli zako......kuna huy mwqanamziki huwa smpend kiviile ila wimbo wake mmjo huwaunanikuna sana kwan kuna haya maneno....MWANAMKE HAPIIIGWI BWANA WEEE...
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Pole sana mkuu,
Ila usiruhusu majibizano mpaka ifike pahala pa kumpiga wife wako asee,
ukiona kaja juu sana ni afadhali uondoke hata akikukamata shati dont beat her bwana,

Then mchukulie wife wako kama mtoto wako wa kwanza yaani utajikuta unamtreat vizuri sana .

Kuna maudhi sana lakini usimpige huyo ndo best ako.
 
Uamuzi uliouchukua ndio umekuharibia siku

Kwani Hakukua na uamuzi mwingine zaidi ya kipondo?????????

Ni Mara yako ya kwanza kutoelewana nae????????

NDOA ni Milima, Mabonde na Tambarare

KUMPIGA MKEO NI SAWA NA KUJIPIGA MWENYEWE, maana yule ni mwili mmoja na wewe

Siku nyingine Fikiria mara mbili kabla ya kuamua
 
Mungu na aiamshe akili
yako utambue ulivomkosea mkeo na urekebishe na ujiapize kutorudia
tena,jitahidi kukotrol hasira zako na kutumia busara zaidi kumsoma mkeo
je anapokubali jambo hua anamaanisha ndio au hapana!

(color=red)amen(/color)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom