My wife has spoiled my day!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My wife has spoiled my day!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BLUE BALAA, May 6, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

  Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Pole sana
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  asante kwa hadithi , nashauri tuchape kitabu ,
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante ndugu
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkuu achana kabisa na physical confrontations... unaweza ukamsababishia mtu brain concussion hapo yakawa mambo mengine
   
 6. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  BLUE BALAA, mwombe sana Mungu akuongoze wewe na mke wako ili amani irudi na idumu katika nyumba yenu. Ni wazi ibilisi ametembelea nyumba yako na atafurahi sana kuona mmesambaratika. Usikubali kuyumbishwa na ibilisi. Let your wife know, asikubali kutumiwa na ibilisi. Mungu aibariki na kuiimarisha nyumba yako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  As long as u made the day for ur beloved wife kwa kumpa KIPONDO, then u should be very happy and proud of urself. Sasa ndo ataamini haswa ulikuwa na mtu. Asipokuacha, subiria maumivu yake maana atakuwa ana-plot revenge.
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa mbona unanishuhudia uwongo?
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Kwanini ulimdrop na ukaenda club alone?
  wewe kwanini usingeenda na mkeo?
  Tangu lini watu wanaenda club kupiga story?
  tangu lini mgogoro ukatatuliwa kwa mangumi?
  Ulipoingia kwenye ndoa kumbuka uli surrender part of your sovereignty to her.kubali ukihojiwa kwani ana haki ya kufanya hivyo.
  Haya yote umeyaleta mwenyewe na bado wamlaumu mkeo,namuonea huruma kwan she married an immature man.
  OTIS
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hivi bado kuna wanandoa wanashushiana mangumi!? Nadhan Bi Helen Kijobisimba na wenzake huko tgnp hawajafanya kazi ya kutosha!
   
 11. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mpotezee, ukichukulia bado ni mke wako.
   
 12. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  Ni wivu tu ulikuwa unamsumbua lakini hatua ulichukua ya kumshushia sio suluhu bali umeanzia mgogoro mwengine
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  How so? If u don't mind...
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ivi ulimwengu huu bado tu kuna wanandoa wanaodundana mangumi tu?
   
 15. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  OTIS nikisema club sina maana sehemu ya mziki bali ni club yetu ambayo several times we go for hang out. Swala kwanini sikwenda nae hiyo ilikuwa ni discretion yake kwenda au la. Angeweza kusema kwamba usi ni drop nyumbani lets go club together kungekuwa hakuna shida. She has real spoiled my day na sasa yeye na watoto wameshakwenda kanisani. Home alone only with JF
   
 16. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuwa uyaone
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Asante ya nini ilhali we ndo umempiga mwenzio?? Hivi huoni aibu hata kuitikia?
   
 18. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,135
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  sidhani km umefanya jambo jema kumpiga mkeo,akirudi church kaa nae chin mtake radhi
   
 19. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Blu Balaa, kama kuna mambo muhimu ya kuyazingatia ili usikorofishane na mkeo tena kwa sababu za kipuuzi ni hayo aliyoeleza mkuu Otis. Ukiendelea kubisha kwamba mkeo alipaswa kukueleza kama anataka kwenda nawe club ku hang out unajionyesha immaturity yako. Kama ni muwazi kwa mkeo, ungempa choice.

  Na kuna nini mpaka akuhisi una mwanamke? There must be another source of that problem hata kama si leo.
   
 20. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Blu Balaa, na kwa taarifa yako tu, frustrations kwa mke huchangia sana kutafuta hapiness elsewhere. Be careful na maisha yanayofanana na maigizo ya kwenye TV.
   
Loading...