My wife has spoiled my day!!

Analeta wivu wa kubomoa huyo na anataka akupande kichwani,pigaaaaaaa.....
 
Kwa hali hii kuna umuhimu wanawake baada ya kichenpati twende judo.ngumi mkononi hakuchapi mtu.hehehe
 
Ulivyompiga umefaidi nini sasa??kama una nguvu kapigane na wanaume wenzio! Shame on you..
 
Exactrly! and the person whose day has been spoiled is his wife, as for him, he should just go to the club and continue hangout with his beloved budds!
 
mkuu nafikiri kitendo cha ko cha kumpa kipondo ataamin kweli kulikuwa na kitu ndo maana unakuwa mkali.
Jitahid usimjengee mkeo mazingira ya kukosa iman na ww hasa kuwa wazi na safari zako, mara nyingi safari za ghafla huwa zinazua maswali mengi ambayo huwa hayana majibu.

akirudi mwombe msamaha, nafikiri atakusamehe coz yy ni muumin ( samehe 7*70)
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.

Kwanza umenikera sana kwa kumpa kichapo mkeo,umemkosea sana tena sana kwa naye ana moyo kama wako,hebu fikiria kama angekuwa yeye ndio karudi huo muda ungefikiriaje?kuwa kiakiri na kifikra achana na utyson.
 
Wanaume tumetofautiana sana na wanawake, we are reasoning , and they are just emotional driven
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
 
Unampiga mkeo kwa sababu kakuhisi vibaya kwa sababu ilienda club peke yako...hivi haya mambo ya kupigana ina maana hakuna lolote ulilojifunza kwa marehemu Kanumba?
 
Mwanamme wa kweli hapigi Mwanamke, Mkuu inabidi uende ukamumbe samahani kwa kumpiga. Kama ungekuwa huku ughaibuni ungeamkia polisi. Pumbafuuu Yakoo, huoni hata aibu kuja kusema umempiga mke wako. Watanzania wengine akili zao ziko hovyo sana kama ndugu wa Magogoni.
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Blue, unahitahitaji kupevuka akili. Kwa vitendo vyako huafai kuitwa mume wala kiongozi wa familia. Huwezi ukatatua matatizo kwa kupiga mkeo. Ubaya ni kwamba huwezi fahamu matokeo ya kipigo hicho. Unaweza ukafikiri umemweka mkeo mahala pake na atakuheshimu zaidi au labda atakuogopa ila hujui umepunguza pendo lake kwako kwa sehemu kubwa sana. Naomba nikupe mfano mdogo sana na labda hili litakusaidia wewe.
"Pendo la mke/mume ni sawa na sahani nyeupe. Kila unapomkosea mwenzi wako ni sawa na kuweka doa kwenye sahani hiyo. Kila doa linatofautiana na doa lililotangulia. Kuna madoa utaweza kuyatoa kwa kusafisha sahani ila kuna yale ambayo yanakomaa hata ufanye nini yanabaki kuwepo. Tatizo lingine madoa huwa yanaonekana sehemu ambayo ni safi kwenye sahani na siyo mahala ambapo doa lingine lilitangulia. Itafika mahala sahani hiyo itajaa madoa kiasi kwamba mwenye nayo ashindwe kuitumia tena. Usije ukafanya ndoa yako ijae madoa mengi hadi pale utakapohitaji upendo wa mwenza naye akakujibu , " roho yangu imejaa madoa mengi sana kutokana na matendo yako hadi nashindwa nikupende kwa kutumia sehemu gani".
Mkeo alipokukubalia uende zako club wewe hukutumia akili kumsoma amekukubalia kivipi. Ishi na mkeo kwa akili. Mpende ili akuheshimu. Piga piga itakuja kukuvunjia heshima mbele ya jamii, mkeo, familia, ndugu na hata watoto wako. Na kama una mtoto wa kiume, sijui unampa mfano gani. Na kama mkeo ana tabia mbaya ulikuwa wapi siku zote usigundue yeye siyo mke mwenye kukufaa wewe?
Mkeo alipokwambia una mwanamke nje ulipaswa umueleweshe kuwa huna ila kwa matendo yako inakuwa vigumu sana kwake kuamini huna mwanamke nje. Namalizia, "ndoa siyo lele mama"
 
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.

Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.

Ndo unajisifia? We ril have a long way to go hakyanan...:nerd:
 
Mkubwa mbona unanishuhudia uwongo?
Anakushuhudia uwongo vipi wakati umeandika mkeo kakuharibia siku yako? Kwani alikushika mkono akauinua na akajipiga kwa raha zake? Mkeo saa hizi anamtafuta mungu ampe moyo wa uvumilivu hata asikumbuke kipigo ulichompa, asikuone mbaya kwake na asiamini kuwa ulikusudia kufanya hivyo. Anautafuta uso wa mungu umwongoze asifanye maamuzi yenye kuiharibu familia yake na wewe upo hapo nyumbani and you even dare say amekuharibia siku!!!!! Kijana shika adabu yako! Wewe bado mtoto kumbe. Rudi kwa wazee wakueleze namna ya kuishi na mke.
 
Mtafutie zawad nzuri anayoipenda na umwombe msamaha,mpe maneno matam na muahid mambo mazuri,ikiwemo kutompiga tena..mwambie ye mtam,hutoweza msalit,umemchagua yeye,msingzie shetan kuwa ulipitiwa na hasira coz anakusingizia..inshort JiSHUSHE..tafuta furaha ya ndoa yako..Leo ni siku ya kucheka kwa afya duniani,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom