My upcoming trip to Jordan

My upcoming trip to Jordan

Haswaaaaa! Si unajua waswahili dharau. Wakituona maeneo kama hayo wanatuona tuna njaa. Kwahiyo hawakutreat the same way km wazungu.

Singapore pako poa sana! Sana tena, night life yeah but not too much to see, pale Marina tu. Hakikisha unafika gardens by the bay

Waswahili tunadharauliana. Wageni wanaonekana wana hela. He mentioned Marina Bay sands with the boat pool on top of building. Gardens by the bay ndio hii ya Marina?
 
Waswahili tunadharauliana. Wageni wanaonekana wana hela. He mentioned Marina Bay sands with the boat pool on top of building. Gardens by the bay ndio hii ya Marina?
Kabisa! Waswahili matatizo sana siee...

Marina bay sands, yeah exactly. With the boat pool on top of building sasa pale pale ndio ipo garden by the bay.
 
Daah mimi Spain natamani kuenda Madrid, Valencia, Barcelona na Ibiza tuTissaphernes,
 
Hahaha wazee wa 'sea sickness' mimi sinaga hiyo kitu hata ndege wanasemaga eti ikiwa inaanza kupaa lazima utapike sasa mimi tangu nimeanza kupanda hadi wa leo sijawahi tapika hata kwa bahati mbaya nadhani hao wanaotapika inakuwa siyo hobby yao tu kusafiri
umenikumbusha nilipanda meli kuelekea Zanzibar
Wahudumu wakaanza kugawa mifuko ya plastic nikauliza ya nini?
Jamaa kwa utani akaniambia chukua tu utaihitaji baada ya mda

Nilishangaa sana nilipoona matumizi yake
Niliamua kwenda juu kuangalia meli ikikata mawimbi
Nikawaacha na mifuko yao
 
Kwa hiyo hiyo 5M tu?
Minimum ndio hiyo imejumlisha Ndege kutoka Dar hadi Dubai na kutoka Singapole hadi Dar.
Mizunguko maana kila mnapofika kila mtu anaelekea kivyake. Kuna tour guides ukipenda.
Visas
Na matumizi yako mengine.
Safari toka Singapole.
Safari zote zinaweza fikia dollar 1800
 
Back
Top Bottom