Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,467
- 84,000
Hivi unakumbuka nilikuambia nikija Zanzibar uwe mwenyeji wangu enh?? Maana sina mwenyeji kabisa kule!!Mkuu Zanzibar ni njema atakae na aje lakini msemo wa when in rome do as Romans do
Hivi unakumbuka nilikuambia nikija Zanzibar uwe mwenyeji wangu enh?? Maana sina mwenyeji kabisa kule!!Mkuu Zanzibar ni njema atakae na aje lakini msemo wa when in rome do as Romans do
daah yaani mtu akiniambia hapendi bahari namuona kama anakosa vitu vizuri eti haha huwa nasahau kama binadamu tunatofautiana maana kuna mwingine kuona bahari kwake ni kero etiNimemshangaa aiseeee
Yeah hapo kwenye cruises napo ndipo hata matajiri wengi wanapopeta kuanzia wafanya biashara wana muziki hadi wacheza mpira maarufu duniani they spend lots of dinero on cruises, na ndiyo maana huwa wanamiliki private yachts au huwa wanakodi kwa bei kubwa tu mfano kama kina Bill Gates huwa wanakodi yachts karibu kila wiki kwa ajili ya kuenjoy na famili zao tu.Karibu sana Mkuu
Kwa bara la Africa ni Cairo, Nairobi, DAR, Mogadishu, Addis na Kampala na Zanzibar
Nchi za Middle East ni Jeddah, Riyadh, Makka na Madina,Kuwait, Bahrain, Abu Dhabi, Muscat na Salala, Doha, Iraq miji saba na Amman pamoja na Damascus na Beirut
Aisee mpaka zingine inabidi nikumbuke uzee huu shida
Europe ni chache UK yote, Frankfurt, Paris, Lille, Marseille, Lyon na Dunkirk
Belgium nimepita na gari nikielekea Charles de Gaulle Paris
Far East nilienda Burma na Vietnam pamoja na Bangkok hii ilikuwa safari yangu ndefu ya ndani ya ndege ilikuwa masaa 11
Havana nilikaa siku nne tu na India pia
Bado sehemu nyingi sana mkuu kama Rio de Janeiro na Kingston
Mungu anipe uzima
Ila safari ukitaka ule maisha tafuta cruises kuzunguka dunia ila sina maana dunia yote bali inategemea na mfuko wako
Sure mkuu, Mbeya ungependa kutembelea milima gani?Wowww wooww woow
You have made me read the whole thread. Nothing captivates me like reading and travelling maana zote zafungua my sense of imagination and see things beyond my present world.
Kwangu priority ni kusafiri na kuishi a simple and comfortable life. I like to hussle ila sio kukamia maisha 365 days a year bila kubreath. Kama wengine wanavyosave kununua prado and all that my soul gets better na kusafiri ( of course baada ya mahitaji muhimu kuwa met)
I have on my bucket list ( muda ukiruhusu ipp siku nitashare my two most amazing experience za Greece na Egypt maana zimeacha alama moyoni
1 Switzerland...Done
2. Egypt ....done
3. Indonesia ...bado
4. Rome ....bado
5. Greece....Done twice and still wish to repeat
6. Ethiopia....done
7. Australia...bado
8. Belize...bado
9. Israel....bado
10. Lebanon...bado
11. Moroco...bado
Tz
LUSHOTO...Done
Ngorongoro..bado
Mbeya hills ..bado
The feeling mtu unapata ukifanikiwa kutembelea sehemu mpya is so refreshing , mind opening.
Twende tu auntie yangu. Haya mambo yamenizidi umri na kila kitu.Auntie unapoenda nichukue na mimi basi
Kumbe watu mpo na mashangazi zenu humu humu. Ngoja nimjulishe baba jesica ili akianza kutoa kipigo hasiwasahau mashangazi wa humu.Auntie unapoenda nichukue na mimi basi
Share your email address mkuu ntakuforwadiafafanua kidogo hii ya lushoto mkuu
Kwa hiyo now tupo makini na tunasisitiza only mpk 40 tu ndio vijanaHaha wale nao walikuwa na lao jambo
Yeah hapo kwenye cruises napo ndipo hata matajiri wengi wanapopeta kuanzia wafanya biashara wana muziki hadi wacheza mpira maarufu duniani they spend lots of dinero on cruises, na ndiyo maana huwa wanamiliki private yachts au huwa wanakodi kwa bei kubwa tu mfano kama kina Bill Gates huwa wanakodi yachts karibu kila wiki kwa ajili ya kuenjoy na famili zao tu.
Swali zuri, wataalamu wake watusaidie hebu ila mimi naona hobby ni kile kitu unakipenda ndani ya nafsi yako kukifanyaHivi ili mtu ujue hobi yako inabidi ufanyeje?
Usemayo yote ni kweli mkuu, hususan kama wewe umeanza kusafiri 70s.Mkuu hizo safari ni miaka mingi sio kuwa lazima kila mwaka niende kutembea zingine namalizia home
Ila kwa likizo ya mwezi mbona nyingi tu maana huwezi kukaa nchi ya ugeni kwa zaidi ya wiki 2
Hapo wiki mbili zinatosha sana kwa kutalii
Na mbili zingine unaenda home kwa ndugu na wazazi
Kila la kheri
Tunatalii mkuu, labda kwa wasiojielewa.Tofauti kati yetu na Wazungu sisi hatutalii wao wanatalii. Mzungu akija Afrika anakuja kwenye vivutio vya utalii. Sisi tukienda kwao twaishia hotelini kupiga picha za kuringishia watu.
Kingine ni kuwa sisi huko Ulaya au nje ya tanzania hatuendi kutalii bali kutembea tu
It's a long short mkuu!Niko nawaza hapa kama nitakuwa vizuri kimuda na kiuchumi niende