My upcoming trip to Jordan

My upcoming trip to Jordan

Sehemu ambazo ningependa kufika

1-BALI

2- Machu picchu

3-Delhi

4- Egypt

5- Paris

6- Brazil

7 - Iran

8- Liverpool

9- New york na washington

10- Mwezini
Indonesia tupo pamoja

Egypt tupo pamoja

India tupo pamoja

France nategemea March next year mungu akipenda

Iran I couldn't go this time around. Ilikuwa niende this time but siasa zao na US nimeshauriwa nisiende kwanza
 
Wishlist
1. San Diego
2. Miami
3. Morocco
4. Cape Town
5. Italy
6. Switzerland
7. Barcelona
8. Madagascar
9. Chitoholi
10. Kamachumu
Mwaka huu wakati nachagua destination nliangalia Madagascar na Seychelles lakini nkaona wako ghali kiasi flight zao.

Cape town pako poa and it's cheap to go but hiyo issue ya xenophobia imechafua hali.

Morocco kuna mji wao unaitwa Marrakech naskia uko poa
 
Kwani mkuu unadhani kunahitaji pesa kiasi hicho?? Hebu anza na trip ya Lushoto. Ipo moja inatangazwa sasa hivi inagharimu kama 200,000 TZS ya night 2 days 3. Inafaa sana hiyo mzee
you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??
 
Sipendi kitu kinachopendwa na wengi.. huko labda kutembea. Kwa afrika laiti Zanzibar kungekua hakuna bahari ningeweka makazi milele.. sasa bahari na jinsi wakristo walivyo wachache huko unakua mpweke fulani hv..
Nimeishi huko 9 months ustaarabu na ukarimu ulinivutia mno. Halafu natunda kama uko peponi yaani
Mkuu Zanzibar ni njema atakae na aje lakini msemo wa when in rome do as Romans do
 
Mkuu naomba when the time is right nkutafute.

Umetembelea nchi ngapi mpaka sasa?? Zishafika 100??? Hongera mzee you have lived your life aiseeee

Karibu sana Mkuu
Kwa bara la Africa ni Cairo, Nairobi, DAR, Mogadishu, Addis na Kampala na Zanzibar
Nchi za Middle East ni Jeddah, Riyadh, Makka na Madina,Kuwait, Bahrain, Abu Dhabi, Muscat na Salala, Doha, Iraq miji saba na Amman pamoja na Damascus na Beirut
Aisee mpaka zingine inabidi nikumbuke uzee huu shida
Europe ni chache UK yote, Frankfurt, Paris, Lille, Marseille, Lyon na Dunkirk
Belgium nimepita na gari nikielekea Charles de Gaulle Paris
Far East nilienda Burma na Vietnam pamoja na Bangkok hii ilikuwa safari yangu ndefu ya ndani ya ndege ilikuwa masaa 11
Havana nilikaa siku nne tu na India pia
Bado sehemu nyingi sana mkuu kama Rio de Janeiro na Kingston
Mungu anipe uzima

Ila safari ukitaka ule maisha tafuta cruises kuzunguka dunia ila sina maana dunia yote bali inategemea na mfuko wako
 
you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??
Mimi safari zangu za hapa hapa ndani halafu leo nina safari naianza saa 12 jioni.
Twin unakumbuka ile issue tulioongea last weekend ukanishauri nikakwambia next weekend ndio kita "happen"?
 
you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??
Thanks much kwa kweli.

Ufanyie kazi bhana na inabidi usafiri ili kujifunza mengi juu ya maisha. Kumbe ulikwenda lushoto?
 
Karibu sana Mkuu
Kwa bara la Africa ni Cairo, Nairobi, DAR, Mogadishu, Addis na Kampala na Zanzibar
Nchi za Middle East ni Jeddah, Riyadh, Makka na Madina,Kuwait, Bahrain, Abu Dhabi, Muscat na Salala, Doha, Iraq miji saba na Amman pamoja na Damascus na Beirut
Aisee mpaka zingine inabidi nikumbuke uzee huu shida
Europe ni chache UK yote, Frankfurt, Paris, Lille, Marseille, Lyon na Dunkirk
Belgium nimepita na gari nikielekea Charles de Gaulle Paris
Far East nilienda Burma na Vietnam pamoja na Bangkok hii ilikuwa safari yangu ndefu ya ndani ya ndege ilikuwa masaa 11
Havana nilikaa siku nne tu na India pia
Bado sehemu nyingi sana mkuu kama Rio de Janeiro na Kingston
Mungu anipe uzima

Ila safari ukitaka ule maisha tafuta cruises kuzunguka dunia ila sina maana dunia yote bali inategemea na mfuko wako
Umetembea mkuu. Heshima kwako.

Tatizo langu mimi I have only 30 days leave in a year, hapo nipange kila kitu bila kusahau kuspend sometimes in Tanga with parents.

Ila no worries ntawahi ku-retire ili niweze kuizunguka dunia
 
Back
Top Bottom