My upcoming trip to Jordan

My upcoming trip to Jordan

Tissaphernes,

Cruise ni raha sana mkuu
Nimepanda P&O mara tano na sijawahi kujutia hela zangu
Ndani ni mji unaotembea kuna kila kitu kuanzia maduka mpaka gym na zingine swimming pool ndani, unakutana na watu wengi sana na kuwa na marafiki wa kila aina
Ukichoka unapanda juu kuangalia dolphins
 
Cruise ni raha sana mkuu
Nimepanda P&O mara tano na sijawahi kujutia hela zangu
Ndani ni mji unaotembea kuna kila kitu kuanzia maduka mpaka gym na zingine swimming pool ndani
Ukichoka unapanda juu kuangalia dolphins
Mimi ndo naangalia hapa ila tatizo hela maana mimi lazima niende na wife

Naangalia deals zao hapa ziko affordable hadi 22usd kwa usiku
 
Karma,
Hahaahahahahahah!

Pole kwa kutokutimiza ndoto ya utotoni, but you can still work on it
 
Barikiwa nawe pia mkuu.

Kwa mbuga za wanyama Tanzania nimefika mikumi na saadani tu, aibu hii kwa kweli ila tatizo I was disappointed nlipofika mbuga zote hizo mbili kiasi kwamba sitamani kwenda kwengine.

Tatizo langu jengine ni muda, you know vile I have only 1 month leave basi hiyo hiyo uende holiday abroad na hiyohiyo upate kwenda kwa wazazi basi muda unabana.

I have been to Norway and Singapore, hutojuta mkuu kwenda huko. All the best na usinisahau zawadi please

Labda ulipata treatment mbaya kwenye hizo mbuga Relief. Yaani watu wa nje wanasifia sana mbuga za Tanzania na wanatamani kutembelea zaidi na zaidi.

Singapore ni pazuri? Nilimuuliza my SO yeye amewahi kwenda, akaniambia kuna great night life there and a lot of sights to see na akaniacha hoi kuniambia kwamba kuna wanawake wazuri sana (I was like ,did I hear that right) niliona wivu
He said it's expensive, but well worth it. Na kwa namna umeniambia sitojuta, imenibidi niamini kwamba nitafurahia sana anniversary yetu nikiwa pale.
Zawadi utapata. Asante kwa kunipa shauku.
 
daah yaani mtu akiniambia hapendi bahari namuona kama anakosa vitu vizuri eti haha huwa nasahau kama binadamu tunatofautiana maana kuna mwingine kuona bahari kwake ni kero eti

umenikumbusha nilipanda meli kuelekea Zanzibar
Wahudumu wakaanza kugawa mifuko ya plastic nikauliza ya nini?
Jamaa kwa utani akaniambia chukua tu utaihitaji baada ya mda

Nilishangaa sana nilipoona matumizi yake
Niliamua kwenda juu kuangalia meli ikikata mawimbi
Nikawaacha na mifuko yao
 
Sasa ni kwanini eti??
US wanahofia labda wanaweza kuwa ni spies na pia wamewawekea vikwazo vya kiuchumi, meaning they want Iran to suffer economically. Kwa hiyo hiyo ni strategy kuhakikisha hata watalii hapati
 
daah yaani mtu akiniambia hapendi bahari namuona kama anakosa vitu vizuri eti haha huwa nasahau kama binadamu tunatofautiana maana kuna mwingine kuona bahari kwake ni kero eti
Kabisa!

Huwa wanakosa vitu vizuri sana. Mimi napenda pia watersports
 
Mimi ndo naangalia hapa ila tatizo hela maana mimi lazima niende na wife

Naangalia deals zao hapa ziko affordable hadi 22usd kwa usiku
Mkuu hongera sana. Na hili linaonyesha dhamira ya kweli ya kusafiri. Hongera mkuu
 
Paula Paul,
Haswaaaaa! Si unajua waswahili dharau. Wakituona maeneo kama hayo wanatuona tuna njaa. Kwahiyo hawakutreat the same way kama wazungu.

Singapore pako poa sana! Sana tena, night life yeah but not too much to see, pale Marina tu. Hakikisha unafika gardens by the bay
 
Wengi wetu tukiwakona wanatembea twajua ni gharama sana. Kwenye mitandao hatutafuti vitu vizuri.
Mimi nimependa hiyo ya Dubai hadi Italy.

Hiyo ni mwakani March

Hapo uanze taratibu za Visa za Israel, Italy, Greece, Oman, Egypt, Turkey,

Ukifanya safari 3 tu passport inajaa.

Mungu akinijaria afya njema nitajitahidi nipate hela ili angalau kila Mwaka niwe nazunguka dunia kuona maajabu yake. Mara 1 kwa mwaka si mbaya
Mkuu hongera sana. Na hili linaonyesha dhamira ya kweli ya kusafiri. Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom