My thoughts, what are yours?

Nimependa analysis yako PA hope you are having a blessed Sunday
 
Rocky naona umenigomea kabisa kukubaliana na mimi kuhusu ilo suala....lol

Haya bana... Imenibidi nikubali, na imenifanya nijue kua you are a good dad
as well as husband... Please Keep it up and Never, ever Change....
Wish you all the best na Mwenyezi Mungu Akubarikini...
 
mahusiano yana mambo sana , mkishazoeana mnaona kamamengine ni utoto, wakati ndio yanayojenga nyumba au uhusiano, nashukuru sie twajitahidi na tuendelee hivihivi
 
mahusiano yana mambo sana , mkishazoeana mnaona kamamengine ni utoto, wakati ndio yanayojenga nyumba au uhusiano, nashukuru sie twajitahidi na tuendelee hivihivi
Tuendelee kuboresha mahusiano yetu kwa kila nafasi tunayopata
 
ADI, nakubaliana na rocky 100%. the most romantic outing i ever had ilikuwa kwenye my fav cafe, ambapo nilipata kahawa ya maziwa mug kubwa 1 tu! it was in 2005 and i still smile when i think of it (nadhani hata macho yana-glow sasa). tena nadhani mtu anakua touched na vitu vinavyoonesha upendo zaidi kuliko ku-spend.ugumu wa maisha ni kigezo tu,mtu anaelalamika kuhusu hela kukosekana hakosi ya kuhonga nje (both men and women do this!!). angalia wahindi, anatoka na mkewe jioni,they take a healthy walk, wanakula mihogo au chipsi vumbi and walk back home! kutoka ni utamaduni tu na inasaidia kuboresha mahusiano.
note: nimedandia thread kwenye bonnet,hata sielewi mliongelea nini b4.nami pia naamini kama ndoa imetulia,hata hela zitamiminika.
 
okay...heri mimi sijasema kitu maana sijasoma.....King'asti...
 
DQUOTE=AshaDii;2448023]Rocky naona umenigomea kabisa kukubaliana na mimi kuhusu ilo suala....lol
Haya bana... Imenibidi nikubali, na imenifanya nijue kua you are a good dad
as well as husband... Please Keep it up and Never, ever Change....
Wish you all the best na Mwenyezi Mungu Akubarikini...[/QUOTE]
Duh kumbe nimekuwa rigid wa msimamo eeehhh
Asante sana Ashadii kama unakubaliana na mimi
Inapendeza na inafurahisha kama mnajiwekea utaratibu wa kwenda out na kufanya yale mambo ambayo mlikuwa mnafanya wakati mkiwa wachumba. Hata kama si kwa kiwango kile.
Asante sana kwa maombi yako
 
Duh kumbe nimekuwa rigid wa msimamo eeehhh
Asante sana Ashadii kama unakubaliana na mimi
Inapendeza na inafurahisha kama mnajiwekea utaratibu wa kwenda out na kufanya yale mambo ambayo mlikuwa mnafanya wakati mkiwa wachumba. Hata kama si kwa kiwango kile.
Asante sana kwa maombi yako[/QUOTE]

hahahah Dogo si usubiri mambo yajibu.....lol mzima lakini? Waifu kwen sekta hiyo hanaga uchoyo kabisaaa
 
King'asti umenikumbusha K TEA SHOP banaaa
 
hahahah Dogo si usubiri mambo yajibu.....lol mzima lakini? Waifu kwen sekta hiyo hanaga uchoyo kabisaaa[/QUOTE]
Mkuu uli-disappear bila maelezo lol!!!
 
hahahah Dogo si usubiri mambo yajibu.....lol mzima lakini? Waifu kwen sekta hiyo hanaga uchoyo kabisaaa
Mkuu uli-disappear bila maelezo lol!!![/QUOTE]

yatafata soon dogo....lol we acha kabisa.....umemwona ODM? mwmabia anatafutwa na polisi kipande hii
 
Mkuu uli-disappear bila maelezo lol!!!

yatafata soon dogo....lol we acha kabisa.....umemwona ODM? mwmabia anatafutwa na polisi kipande hii[/QUOTE]
ODM sijui kapotelea wapi bana sijamuona wala kumsikia ngoja nimtafute kwenye zile sehemu zake
 
Duhh hiyo kesi imeshanitisha kama kifo..
Vipi kwanini we uamue? Mbona namlipa Kimey kwa kazi hiyo?
Kesi yenyewe iko wapi .. mmhh
Duh!!! Kimey ana upendeleo sana lol, hope you got my message?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…