My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Leo hii hata wewe William Abdalah unadai kuwa unaweza kufanya Analysis? Kweli kazi hipo...
 
- Kaka nimesema hivi wanaomuongelea hawana credibility kwenye Taifa, kama kweli anahitaji kutimiza ndoto yake ya Urais anatakiwa kutafuta Viongozi credible wanaokubalika na Taifa kama Rais wa sasa alivyofanya wakati anatafuta urais, wewe unasemaje on that?

Le Mutuz
Mkuu Kwani wote walimsaidia mkulu kuingia madarakani wamepewa vyeo?
 
Pesa huna, ungekuwa na pesa ungefahamika vizuri kwenye jamii inayokuzunguka. Nimekuelewa vizuri sana kwa kujitambulisha kwamba wewe ni mpiga kura muhimu wa Urais kwenye ngazi ya chama kwa hiyo wagombea wanatakiwa wakukumbuke.

- Kaka umesema nina shida ya pesa nimwakwambia sina shida ya pesa ninazo, mengine hayahusu mada so nakuachia mwenyewe!1

Le Mutuz
 
Hongera kwa kufuata ushauri wangu mkuu maana nimeona zile nondo nilizokupa umezitumia kwenye thread Breaking News: Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

Umeonyesha ukomavu mkubwa sana kukubali kuzitumia zile nondo kama silaha yako muhimu. Ha ha ha haa!

- Eti ni wapi huko kaka? Maana toka nimezaliwa sijawahi kutumia nondo za mtu mwingine kuandika mawazo yangu kumbe na wewe kuna mahali ulinadika kama mimi leo, ni wapi huko kaka?

Le Mutuz
 
Binafsi naliombea taifa langu Tanzania lipate kiongozi bora,mwenye uchungu na watanzania,mwenye kuuchukia umasikini uliotamalaki katika kaya nyingi wakati Tanzania imejaliwa malihasili nyingi.Bahati mbaya Lowassa si katika viongozi wenyewe maono hayo.

Lowassa alisusa wadhifa wa waziri mkuu baada ya kukumbwa na kashfa ya RICHMOND.Alipewa nafasi ya kujitetea mjengoni badala ya kujitetea akabakia akibwabwa eti kuna wanatu wanaoutaka uwaziri wake.Nawauliza waungaji mkono wa lowassa Pasco & co ikiwa nafasi ya waziri mkuu ilimshindwa n kwanini tunadhani urais atauweza.

Lowassa amekuwa akitumia fedha nyingi misikitini na makanisani juzi juzi kavamia boda boda je hizi ni sifa za kiongozi bora ?.Ni huyu huyu Lowassa aliyechomolowa na Mwl Nyerere kwasababu za ukwasi wa kutisha aliokuwa nao ambao aliupata alipokuwa mkurugenzi wa AICC na nafasi ya uwaziri je akipewa urais unategemea nini ?.

WaTanzania tuepuke viongozi wanaotumia nyumba za ibada kutaka madaraka ya kuongoza nchi.
Mheshimiwa Lowassa hafai kuongoza Tanzania tunayoitaka.

- Duh! kaka watakutukana sasa hivi hapa!!

Le Mutuz
 
W. J. Malecela Mkuu uchambuzi mbona nusu nusu? Sijaona John Malecela, sijaona Kingunge, na wengine wengi tu ambao wametoa matamko yao..kwani kama wewe msomi unaangalia upande mmoja tuuu wanaomsapoti Lowasa vipi wasiomsapoti nao?
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio shida kubwa tuliyonayo,Wasomi kuacha kutumika kwenye Taaluma walizosomea-Na kujiingiza kwenye siasa za Majitaka.

Acha chuki Binafsi kwa Lowassa.
 
Know when to cut your loses, kama kweli Lowassa shutuma zinazomkabili ni za ukweli na CCM imeshindwa kutumia fursa hiyo kumnyamazisha. Ina maana zambi zimesambaa ndani ya hiko chama, kwa mtaji huo bora kwenda na fisadi alieshiba kuliko kuendelea na watu watakao kuja na kuanza mambo yaleyale upya.

Lets face it ni CCM hii hii chini ya raisi imeshindwa kukamata wauza unga ambao wameleta athari kubwa zaidi kwa vijana, kushuka kwa maadili kunakochochewa na magazeti yasiyo na kichwa wala miguu na matatizo mengi tu ambayo athari zake ndio zinaanza kujitokeza hila bado kufikia kilele. Sidhani kama Lowassa anaweza weka anymore damage kwenye jamii kama JK alivyoruhusu (ingawa kafanya mazuri yake) hila mambo yalipofikia bora aje mtu ambae aogopi mtu na Lowassa anatoa hiyo aura, enough of nonsense kwakweli you just hope hayupo kwenye biashara ya madawa na anaungana na sera za gesi za zilizopo (maana kwenye nchi ambayo wahalifu hawatajwi, tunasikia tu wananguvu ni bora kwenda na zimwi ulijualo on the understanding kwamba tayari huyu jamaa tajiri labda kashiba sasa).
 
mkuu umeingia chaka sana, halafu mjumbe kama wewe a public criticism na kuonyesha interest mapema kunatuonyesha kua hufai hata huo ujumbe...
 
- Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.

- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.

Le Mutuz

Baba yako alishindwa kutumia ushawishi wa kuweka lami km40!!!!!kutoka Dodoma mpaka kwenye Hospital tegemeo ya mvumi! Gazeti la Jambo leo ndiko wauza sembe mlikojifichia huko nako ndiko unataka ukamsaidie baba yako kupambana na Lowassa! JUA KWAMBA CCM MTAJI WAKE NI MAENEO YANAYOTAWALIWA NA UJINGA LAKINI MAENEO WALIKOJITAMBUA LAZIMA CCM IPOTEZE MAJIMBO!
 
Mkuu uchambuzi mbona nusu nusu? Sijaona John Malecela, sijaona Kingunge, na wengine wengi tu ambao wametoa matamko yao..kwani kama wewe msomi unaangalia upande mmoja tuuu wanaomsapoti Lowasa vipi wasiomsapoti nao?

- Kaka habari nzima itakuwa kwenye gazeti la Jumapili tena live wala usiwe na wasi wasi ila inakuja live!!

Le Mutuz
 
Hii ndio shida kubwa tuliyonayo,Wasomi kuacha kutumika kwenye Taaluma walizosomea-Na kujiingiza kwenye siasa za Majitaka.

Acha chuki Binafsi kwa Lowassa.

- Kaka kumwambia Lowassa kwamba kuwatumia wasemaji walioshindwa siasa kama Guninita ni kujitafutia kushindwa unasema ninafanya siasa za majitaka?

Le Mutuz
 
Baba yako alishindwa kutumia ushawishi wa kuweka lami km40!!!!!kutoka Dodoma mpaka kwenye Hospital tegemeo ya mvumi! Gazeti la Jambo leo ndiko wauza sembe mlikojifichia huko nako ndiko unataka ukamsaidie baba yako kupambana na Lowassa! JUA KWAMBA CCM MTAJI WAKE NI MAENEO YANAYOTAWALIWA NA UJINGA LAKINI MAENEO WALIKOJITAMBUA LAZIMA CCM IPOTEZE MAJIMBO!

- Ndio maana ya Demokrasia kila mtu anakuwa na haki ya kusema anything na kusikilizwa, ha! ha! ha1 na wewe kaka umesikilizwa ila next time angalia mada inasema nini kabla hujajibu!!

Le Mutuz
 
Madai yake ameandika kwa ufupi na kwa habari/analyisis mfuate Jambo Leo jumapili.

- Thanks bro kumbe kuna walioenda shule humu na kuna makanjanja ambayo hayaenda shule lakini yanajifanya kua yana shule unaona walioenda shule maneno machache lakini inaeleweka anasema nini saafi sana kaka!!

Le Mutuz
 
Pinda "Mafisadi wananguvu wakikamatwa nchi itayumba"
JK "wauza unga tunawajua", wako wapi kila siku mashehena yanakamatwa mbona hawatiwi kizuizini.
Tembo kila siku wanauwawa, operation tokomeza imeondoa waziri alietaka kupambana na hao wenye nguvu.

Kwa wengine hayo ya juu ni upuuzi uliopitiliza ukiongeza na maadili ambayo yanapotea watu wanafikiria kimaslahi tu sasa, vijana hawajitambui yaani mambo ovyo ovyo kuna identity crisis especially upande wa culture, someone needs to sort this mess atleast jamaa ana preach umuhimu wa swala la elimu yenye kiwango.

Ukizingatia hakuna wa kumwamini kwa sasa hiwapo hao wenye nguvu hawajulikani hila kila siku ndio tunaambiwa wanatuaribia nchi, who knows labda wanaompinga ndio wale wale things have to change.
 
- Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.

- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.

Le Mutuz

Sidhani kama una umuhimu sana katika kuamua nani agombee upande wa CCM! Hiki ni kilio cha jinsi jamaa alivyomliza baba yako ndo maana una kinyongo naye. Lakini ukweli utabaki wazi kuwa kwenye chama lenu hamna mgombea anayeuza single kama EL hata wewe ni shahidi katika hili. Hebu msikilize Nepi kama anaendelea kupiga kelele tena? Mzee Mangu.la yuko wapi mpaka sasa hivi? KIMYAAAAAAAAAAAAAAA!!!

Hivyo na nyie hapo nyumbani kwenu kaeni kimya mkiomboleza na mzee wenu!! Hivi mtaficha wapi mikia yenu siku EL akienda Ikulu au akipitishwa tu na chama chenu? Hivi hamtalazimika kumpigia kampeni kweli ninyi? Nawahurumieni sana kuanzia kwa mzee wenu mpaka kwa Nepi!!!!
 
Back
Top Bottom