My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Sure thing, hata babake hana na hatakuwa na credibility, hence ni chuki binafsi toka kwa baba kwenda kwa mwana

- Kaka Rais amesema tuwaepuke wenye hela chafu kama alivyosema Malecela, unasema ni chuki binafsi hiyo? ha! ha!

Le Mutuz
 
Mbona jamaa wanaokumwaga kinyesi tunawajua hapa mujini bongo!

- Unawajua wanaokumwaga unazidi kujisema kaka sasa si uwataje tu kwani lazima utishie wengine kaka watu wanakuwamga mwenyewe halafu unakuja kutishia wengine huku vipi wewe ha1 ha! ha1

- Unafikiri ninatishika kaka na maneno ya mtaani ninakwambia hivi wasemaji wa Lowassa so far hawana credibility hawafai atafute wengine na ndicho nitakachoandika Jumapili vipi mtanimwagia tindikali? ha! ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Kaka ninazo mpaka message zao za kunitaka niende huko so tuliza boli si unajua huwa ninaweza kuongea na mwenye kifaranga sio wewe kifaranga tu kaka, ha! ha! ha1

Le Mutuz
huwezi kuniita mimi kifaranga wewe kula kulala,katika maisha mimi nime-fight on my own,sijashikwa mkono kama wewe,kila sehemu uliyopita umepita na kimemo mkononi,.huzijui hustles..
 
- I know bila kujisema kama unavyofanya sio rahisi sisi kujua hapa so naamini wahusika wa mambo yako hayo wamekuona watakutafuta kaka pole sana sisi tunakuja kujadili siasa nyie mnakuja kutangaza biashara zenu duh!!

Le Mutuz

shukur sna mzee malechela kukutowa huko,sasa wangekuwa wamekutoboa mpaka ungekuwa unatembelea wheel chair,shukur sasahv ni nep tu unavaaa,
 
- Kaka sijagombea anything na wala simpigii debe anybody, nimesema hivi Lowassa amesemewa na wasemaji wasio na credibility ndio maana Rais amewaunga mkono wanamshambulia, na nikakuuliza hivi Chadema kushindwa uchaguzi toka ianzishwe Miaka kama 25 sasa hivi bado wanayo credibility ya kuwaongelea wananchi?

Le Mutuz

mkuu,chadema hawana credibility ya kuwasemea wananchi maana hatujawapa ridhaa bado, wanaowasemea wananchi ni serikali tuliyoichagua na rais wake...ila wabunge wa chadema wanayo credibility ya kusemea wananchi kwa kuwa nao tuliwachagua ila sio chadema yenyewe,pia chadema haiko answerable kwa wananchi mpaka hapo tutakapowapa nchi,kwa sasa wanabaki wakosoaji wa serikali yetu, serikali ya ccm.

Mkuu mtu aliyeshindwa kuchaguliwa hawezi akajipa madaraka,pia kama jf wasemavyo, pia pia kama ulishindwa kutuwakilisha EAC pia usiwanyoshee kidole wengine walioshindwa dar, shinyanga na kwenu mtela.

Mwisho naomba kukuuliza, nionavyo CUF, CDM na wapinzani wengine wanasema kama Baba wa Taifa alivosema lowasa ni mchafu na jk ni mchanga kuliongoza taifa. Nakumbuka baba wa Taifa JK wa kwanza alikufa hajatengua kauli hii na mpaka miaka elfu ije hawa watu watakuwa na heshima iyo. Je , nyie moja ya mia ya ccm mnaompinga mzee Lowasa ni vigezo gani mnatumia KUMKATAA?maana mnamoiga vijembe bila ya kuleta sababu?kama mchanga ameongoza taifa vizuri, kwa nini na mchafu anayeweza kuoga akatakata asiweze kuliongoza taifa?

Tumuache lowasa aje akutane na wapiga kura kuanzia ndani ya ccm na hatimaye uko nje kwenye box la kura. Ashakumu si matusi, MUACHE MANENO YA 'KIKE' , SUBIRI MAAMUZI YA KIDEMOKRASIA WALA SIO KUPAKANA KINYESI.
BADO SUMAYE,SITTA, MEMBE NA WENGINE, WAACHE WAKUTANISHWE NA BOX LA KURA MKISHAMPATA MMOJA NDO MMULETE TUMWEKE KWENYE MZANI NA DAKITARI WILBROD S LAA PETRO UKU UPANDENI AKIWA NA PROF. IBRA LIPUMBA.
NI AYO MKUU.
 
- Unawajua wanaokumwaga unazidi kujisema kaka sasa si uwataje tu kwani lazima utishie wengine kaka watu wanakuwamga mwenyewe halafu unakuja kutishia wengine huku vipi wewe ha1 ha! ha1

- Unafikiri ninatishika kaka na maneno ya mtaani ninakwambia hivi wasemaji wa Lowassa so far hawana credibility hawafai atafute wengine na ndicho nitakachoandika Jumapili vipi mtanimwagia tindikali? ha! ha1 ha!

Le Mutuz

kama baba yako na genge la majambazi wenzie walivyommwagia tindikali kubenea!!!
 
- "Kwa nini na machafu anayeweza kuoga akatakata asiweze kuongoza Taifa" "Muache Maneno ya Kike" kaka labda sijaelewa maana ya JF kwa maneno yako kwani kwa nini tupo hapa? Ni kujadili maneno ya kike kumbe?

- Kwanza rekebisha kauli zako ndio tuendelee na mjadala, unasema tunyamaze kweli ndio motto ya JF hiyo kunyamaza sasa JF ipo kwa sababu gani kaka? Hebu rudia kidogo maana lugha yako haiko sawa mpaka hapo!!

Le Mutuz
 
- Unawajua wanaokumwaga unazidi kujisema kaka sasa si uwataje tu kwani lazima utishie wengine kaka watu wanakuwamga mwenyewe halafu unakuja kutishia wengine huku vipi wewe ha1 ha! ha1

- Unafikiri ninatishika kaka na maneno ya mtaani ninakwambia hivi wasemaji wa Lowassa so far hawana credibility hawafai atafute wengine na ndicho nitakachoandika Jumapili vipi mtanimwagia tindikali? ha! ha1 ha!

Le Mutuz

MKUU si uwe mvumilivu?ukitaka kujibu kila kitu utaharibu mada uliyoianzisha mwenyewe, achana na matusi jikite kwenye hoja yako mkuu.
ujue hapa jf kuna watu wazima wanadigest mawazo yako huru,sasa wakikutana na aya mambo ya sijui 'kinyesi' ebu jifikirie mzee malecela akiwa anafuatilia apa si atashangaa mkuu?au tuseme mwenyekiti wako akija apa kunukuu wazo lako na anakutana na matusi, atakuheshimu kweli?mbona akina lema, Ndungulile, Dr Slaa na akina Beni saanane wanatukanwa sana ila hawajibu matusi? #
Mkuu achana na hasira utaharibu maana nzima ya mawazo yako uku Jf. Nkauomba uwe mtulivu mkuu. Matusi yawe mwiko mkuu.
 
huwezi kuniita mimi kifaranga wewe kula kulala,katika maisha mimi nime-fight on my own,sijashikwa mkono kama wewe,kila sehemu uliyopita umepita na kimemo mkononi,.huzijui hustles..

- ha! ha! ha! ha! Mwenye kifaranga ni Lowassa mwenyewe kaka wewe ni kifaranga tu na walka hakujui so tuliza boli, ninapolala na ninapokula hupajui ungeshaniwekea sumu au tindikali ha! ha! ha! ha! kifaranga kaka kuku mwenyewe ndio muhimu sana sio wewe kaka!!

Le Mutuz
 
MKUU si uwe mvumilivu?ukitaka kujibu kila kitu utaharibu mada uliyoianzisha mwenyewe, achana na matusi jikite kwenye hoja yako mkuu.
ujue hapa jf kuna watu wazima wanadigest mawazo yako huru,sasa wakikutana na aya mambo ya sijui 'kinyesi' ebu jifikirie mzee malecela akiwa anafuatilia apa si atashangaa mkuu?au tuseme mwenyekiti wako akija apa kunukuu wazo lako na anakutana na matusi, atakuheshimu kweli?mbona akina lema, Ndungulile, Dr Slaa na akina Beni saanane wanatukanwa sana ila hawajibu matusi? #
Mkuu achana na hasira utaharibu maana nzima ya mawazo yako uku Jf. Nkauomba uwe mtulivu mkuu. Matusi yawe mwiko mkuu.

- Kaka mimi ni National Politician hakuna mwiko wa ninachoweza kusikia na kujibu, pole sana kama ulidhani matusi yanaweza kunitisha nikakimbia sasa u know better, nimeweka mismamo wangu hapa na sio mara ya kwanza kaka, hayo matusi ni madogo saan maana hapa nimeona makubwa kuliko hayo ila serious people like me tunapoona matusi makubwa kama haya maana yake ni kwamba somo limeeleweka bila matusi kama haya maana yake hoja haijaeleweka ok kaka., mimi situkani mtu hata siku moja ila ninamkumbusha through saikolojia words kwamba anachoksiema kinamuhusu zaidi maana sheria ya maisah duniani ipo wazi kwamba huwezi kuongelea anything ambacho hujawahi kufanyiwa so hawa kwangu wanajisema kwamba waliwahi kufanyiwa wanayoyasema, unasema kujibu hivyo ni kuwatukana?

- Nilipoiamua kutumia jina langu kamili nilijua sana kaka matokeo kwenye maisha tunatakiwa kuamua tunataka nini so wacha kunifunidhsa kuwa muoga muoga kama wewe unaogopa matusi kwamba mtu akikutukana tu basi unakimbia sio mimi kaka!

- now lets get back kwenye somo unasemaje kuhusu hoja yangu ya msingi kwamba wanaomuongelea Lowassa hawaan credibility kwa sababu tayari mpaka Rais amewaunga mkono wanaowashambulia wasemaji wake?

Le Mutuz
 
- "Kwa nini na machafu anayeweza kuoga akatakata asiweze kuongoza Taifa" "Muache Maneno ya Kike" kaka labda sijaelewa maana ya JF kwa maneno yako kwani kwa nini tupo hapa? Ni kujadili maneno ya kike kumbe?

- Kwanza rekebisha kauli zako ndio tuendelee na mjadala, unasema tunyamaze kweli ndio motto ya JF hiyo kunyamaza sasa JF ipo kwa sababu gani kaka? Hebu rudia kidogo maana lugha yako haiko sawa mpaka hapo!!

Le Mutuz

mkuu, ndo maana nkaanza na radhi,apo sina maneno mazuri zaidi ya ayo, yanayoweza kubeba maana halisi bila kupunguza ujumbe kamili, namaanisha maneno ya kike kuwa yale yasiyokuwa na impact bali mnaishia kulalama tu. Si lengo langu kukuudhi ila ni kuonesha jinsi mnavokuwa na maneno mengi bila kuchukua hatua, mmesema mapacha watatu, kimyaa,...magamba kimyaaa, sasa mnampinga lowasa hata bila ya kusema nini hasa asije kutimiza ndoto yake...binafsi siamini kama ndoto inatimizwa baada ya kuota, ila sipendi watu MNAOSHAMBULIA ndoto. 'you fight the dream' while others do fight in reality.
Mkuu si lengo kukuudhi ili uache ujumbe, na kupigia msitari ambako hupapendi ULIKOPIGIA MSITARI. tufanye ivi, DELETE MANENO USIYOYAPENDA KWENYE POST YANGU , KISHA UJIBU MENGINE YA MUHIMU.
 
- ha! ha! ha! ha! Mwenye kifaranga ni Lowassa mwenyewe kaka wewe ni kifaranga tu na walka hakujui so tuliza boli, ninapolala na ninapokula hupajui ungeshaniwekea sumu au tindikali ha! ha! ha! ha! kifaranga kaka kuku mwenyewe ndio muhimu sana sio wewe kaka!!

Le Mutuz
naongea na malecela siongei na wewe,hujawahi ku-struggle tokea uzaliwe,born with silver spoon,huna hadhi ya kuongea na sisi,tunafight kutafuta maisha,wewe umebebwa tokea uzaliwe,shut the f**k up loser.
 
Zee zima kichwa cha panzi..
Sijui vp hili zee...lishazeeka ht akili ya kufikiri imefikia kikomo
 
mkuu namaanisha maneno ya kike kuwa yale yasiyokuwa na impact bali mnaishia kulalama tu. Si lengo langu kuudhi ila ni kuonesha jinsi mnavokuwa na maneno mengi bila kuchukua hatua, mmesema mapacha watatu, kimyaa,...magamba kimyaaa, sasa mnampinga lowas hata bila ya kusema nini hasa asije kutimiza ndoto yake...binafsi siamini kama ndoto inatizwa baada ya kuota, ila sipendi watu MNAOSHAMBULIA ndoto. 'you fight the dream' while others do fight for reality.
Mkuu si lengo kukuudhi ili uache ujumbe wangu na kupigia msitari ambako hupapendi ULIKOPIGIA MSITARI. tufanye ivi, DELETE MANENO USIYOYAPENDA KWENYE POST YANGU , KISHA UJIBU MENGINE YA MUHIMU.

- Ok tatizo ni kwamba unaongea yasiyonihusu, mimi nimeongelea credibility ya wasemaji wa Lowassa kwamba hawana ndio maana kuna big backlash nikamshauri kuachana nao na kutafuta wenye credibility kama alivyofanya Rais wa sasa wakati anagombea, sasa what this has anything to do na unayosema kaka?

Le Mutuz
 
naongea na malecela siongei na wewe,hujawahi ku-struggle tokea uzaliwe,born with silver spoon,huna hadhi ya kuongea na sisi,tunafight kutafuta maisha,wewe umebebwa tokea uzaliwe,shut the f**k up loser.

- ha! ha! ha1 ha! hillarious u know! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
- Kaka mimi ni National Politician hakuna mwiko wa ninachoweza kusikia na kujibu, pole sana kama ulidhani matusi yanaweza kunitisha nikakimbia sasa u know better, nimeweka mismamo wangu hapa na sio mara ya kwanza kaka, hayo matusi ni madogo saan maana hapa nimeona makubwa kuliko hayo ila serious people like me tunapoona matusi makubwa kama haya maana yake ni kwamba somo limeeleweka bila matusi kama haya maana yake hoja haijaeleweka ok kaka., mimi situkani mtu hata siku moja ila ninamkumbusha through saikolojia words kwamba anachoksiema kinamuhusu zaidi maana sheria ya maisah duniani ipo wazi kwamba huwezi kuongelea anything ambacho hujawahi kufanyiwa so hawa kwangu wanajisema kwamba waliwahi kufanyiwa wanayoyasema, unasema kujibu hivyo ni kuwatukana?

- Nilipoiamua kutumia jina langu kamili nilijua sana kaka matokeo kwenye maisha tunatakiwa kuamua tunataka nini so wacha kunifunidhsa kuwa muoga muoga kama wewe unaogopa matusi kwamba mtu akikutukana tu basi unakimbia sio mimi kaka!

- now lets get back kwenye somo unasemaje kuhusu hoja yangu ya msingi kwamba wanaomuongelea Lowassa hawaan credibility kwa sababu tayari mpaka Rais amewaunga mkono wanaowashambulia wasemaji wake?

Le Mutuz
eti national politician!!!lini umechaguliwa zaidi ya kubebwa,huoni hata aibu..nimekwambia huna hadhi ya kuongea na sisi,you are lamed out,hujawahi kufanya kitu bila kubebwa,huna haki ya kuongelea struggle,nenda kalale kwa mama wa kambo.
 
- Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.

- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.

Le Mutuz
ubinafsi
 
Jaman huyu mbwege anauzi sana hana point ya maana,hana hekima wala busara na na hoja vilevile hana.....
 
Back
Top Bottom