Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,342
- Kaka mimi ni National Politician hakuna mwiko wa ninachoweza kusikia na kujibu, pole sana kama ulidhani matusi yanaweza kunitisha nikakimbia sasa u know better, nimeweka mismamo wangu hapa na sio mara ya kwanza kaka, hayo matusi ni madogo saan maana hapa nimeona makubwa kuliko hayo ila serious people like me tunapoona matusi makubwa kama haya maana yake ni kwamba somo limeeleweka bila matusi kama haya maana yake hoja haijaeleweka ok kaka., mimi situkani mtu hata siku moja ila ninamkumbusha through saikolojia words kwamba anachoksiema kinamuhusu zaidi maana sheria ya maisah duniani ipo wazi kwamba huwezi kuongelea anything ambacho hujawahi kufanyiwa so hawa kwangu wanajisema kwamba waliwahi kufanyiwa wanayoyasema, unasema kujibu hivyo ni kuwatukana?
- Nilipoiamua kutumia jina langu kamili nilijua sana kaka matokeo kwenye maisha tunatakiwa kuamua tunataka nini so wacha kunifunidhsa kuwa muoga muoga kama wewe unaogopa matusi kwamba mtu akikutukana tu basi unakimbia sio mimi kaka!
- now lets get back kwenye somo unasemaje kuhusu hoja yangu ya msingi kwamba wanaomuongelea Lowassa hawaan credibility kwa sababu tayari mpaka Rais amewaunga mkono wanaowashambulia wasemaji wake?
Le Mutuz
mkuu sawa ila kwa maadili ya kitanzania, nisijue uko kwenu abroad, ila natambua kuwa mzee wako alikuwa na bado ni mtu mzito na najua fika alikufunza ukingali mdogo kutosema matusi hata kama umetukanwa, najua si mara ya kwanza kuona matusi makubwa hapa jf, ila naomba tu ujue matusi si saizi ya familia yako. tambua kabisa sijawahi kumsikia mzee malecela au mama Kilango akisimama na kutukana. Ukitukanwa ok tambua ujumbe wako umefika kama ulivodai ila USIJIBU MATUSI, ni ombi tu. Mimi nimevutiwa na maelezo yako ndo maana nikaja kuchangia ila ningekuta uzi umeanza kwa matusi au ni hoja za matusi nadhani hata nisingefungua ila kwa kukuta substance, nimetambua umuhimu ndio nikaacha kazi zoote kuja kujadili neno nawe.
As you said, back to Topic, mkuu naona umechanganya post zangu na mtu mwingine, hakuna sehemu nimesema Rais anamsapoti EL. mimi ni mtu mdogo sana, sijawahi na sitegemei kukutana na Rais kujua msimamo wake, japo JK anahusishwa na majanga mengi ila anakaa kimya maana hawezi kumjibu kila mtu, japo natambua from silence people can judge. Wanamsemea rai kutokana na misimamo yake isiyo wasi, kama hamuungi mkono mbona hakemei,tofauti jna yeye kulalamika, na kama anaamuunga mkono mbona hasemi wazi?
Mkuu swali langu kuu ni SABABU IPI MNAITUMIA KUMPINGA MZEE LOWASA?KAMA NI UCHAFU WANACHI TUJUE, ILI TUREJEE LIST OF SHAME NA MAJANGA MENGINE, kama ni uroho wa madaraka tujue, kama ni kufuata mkumbo tuelezwe sisi raia, na kama mnampinga tu kwa kuwa ni raha kupingana na WATU, sisi wapiga kura tupate msimamo na tutajua la kufanya. Asante.