- Kaka nimesikia sana ila umeamua mwenyewe sio mimi, kwa kawaida huwa sina marafiki wa aina hii kaka ambao tunaweza tuka kaa chini na kuongea mambo mengi serious na muhimu kwenye maisha yetu halafu wakaja kwenye mitandao like the way you came leo, great kaka nimekusikia sana ila aliyeamua ni wewe mwenyewe kaka sio mimi understand that kwamba Mlango umeufunga mwenyewe sio mimi ni kweli nimeufunga kaka kama ulivyotaka.
- Naomba kukukumbusha kwamba hata wakati tuliposafiri pamoja ningejua kwamba this is how you think of me nisingethubutu kupanda gari lako kaka, ila ninashukuru sana kwamba nimekuelewa na kama kawaida yangu huwa sina tatizo kufanya maamuzi magumu sana unaweza kuwauliza wanaonijua kwa karibu zaidi yako kaka.
Le Mutuz
Usitishie watu nyau as if you are so unique to this country...
You are nothing in this country...unafahamika tu na wadada kwa vile wewe ni mtu wa kushobokea watu.
Nina story zako nyingi kipind ukiwa New York ukiacha hizo za kuendesha malori.
Ukileta hoja just accept the challenges!otherwise you real show your real image of being impotent.