William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Le Mutuz.
Lowasa hahitaji kura yako wala ya rafiki yako yeyote.......Tena mi nampongeza sana lowasa kwa kuonyesha nia mapema ili wananchi waanze kumchunguza mapema. Nyinyi mnaojificha vichochoroni hatuwahitaji.
Kumbuka we ndani ya CCM ni kama chawa kwenye zizi la ngombe.
- Mimi sina shida naye ila ni haki yangu kuchambua anayoyafanya na ndivyo nitakavyofanya gazeti la Jumapili u know itakuwa super sana!!
Le Mutuz
Mkuu, kwani John amebadili jina anaitwa Abdallah siku hizi?
Mi mgeni hapa Posta tafadhali nijuze. Koz recently nilisikia kuna baadhi ya viongozi wengi wamesilimu (wamebadili dini) eti kisa................. Daaah.. nchi hii ina mambo sana.
Tehe tehe tehe tehe
- Lowassa atapewa Urais na Msindai? Guninita? Mgeja? kweli kaka unaaamini hawa watampa Urais mgombea wako?
Le Mutuz
Sasa hivi CCM ni ngumi ngumi.
- Yaap nimewachambua wanaomuongelea kwamba sio credible na Taifa kwa sababu wote wameshindwa Mikoani, kwani kaka kwako Political Analysis ni nini kaka?
Le Mutuz
Jamani kutangaza kura yako humpi fulani mtandaoni sio kosa la kinidhamu kwenye chama chenu we dogo wa Malecela
Kama kwa mtazamo wako hii ni analysis as per heading, then its shallow analysis
Hata Mzee Jumanne Malecela alishindwa Ubunge kule Mtera na Kilaza Lusinde. Ina maana naye hana tofauti na kina Msindai, Guninita n.k
Wapi nimesema hao watampa urais kaka? Kwa hiyo ndani ya CCM watu wa karibu wa mtu ndio wanaompa mtu urais?
huyu jamaa LEMUTUZ mwili na uwezo wa kufikiri haviendani.
nimeitafuta hiyo ANALYSIS haipo.
Hata siku moja mtoto wa kenge hawezi akageuka kuwa mjusi,we unafikiri hao wanaompiga EL ndio watu ambao wana uwezo ?mfano mzuri ni abdala (mzee malecela) baba yako.fanya kwanza uchambuzi wa hao wanaompinga ukishajua uwezo wao ndio uje hapa anza na mzee malecela aka abdala aliyebadilisha dini ili apate support ya kugombea urais.
With due respect, tujadili mambo kwa hekima na upendo. Hakuna haja ya kuwaingiza wazazi katika mijadala.
nimejibu nini mtoto wa jumanne wakati naitafuta hiyo analysis siioni!- ok umetafuta analysis haipo llakini ukajibu kaka? Duh! Ha1 ha1
le mutuz