umeona eeh!?!ndio mana wamama wanatakiwa wajitahidi kujipatia vijibanda kwa ajili ya mambo ka haya, haipendezi kikitokea cha kutokea urudi nyumbani.
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa
Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..
...FL1,kwanza huyo dada aache kusema eti little rows,...hakuna kitu kama hicho.
Huyo mume inaonekana dhahiri anachukizwa na tabia za mkewe kumu 'underestimate' au sijui kuna wengine wangeita 'belittle'
No wonder anajitahidi kujitutumua, huenda alianza kuchelewa kurudiu,...akaongeza kulal nje,...na sasa analala siku tano (mnh!?)
Ongea nae huyo shoga yako, anachangia kumlazimisha jamaa alale nje...
...haha ha, kwema tu---- unasema jamaa analala nje, kwani huwa kunalalika hata huko nje basi? ha ha ha,...
...DC, huyo mdada anatafuta sympathetical votes hapa, ...hebu kipengele cha maisha hatarini tukiweke kando kwanza,
bado hajatishiwa maisha, ni maneno ya FL1 tu bana, LOL
mkuu,
katika jamii za kiafrika....MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE HAWEZI KUIKIMBIA NYUMBA YAKE NA KWENDA KWA WAZAZI WAKE NA AKAPOKELEWA TU!mi sijawahi ona hiyo........!yani the moment anafika anaulizwa kilichohappen na anarudishwa the very moment na kama ni usuluhishi utafanywa huko huko!HII HAITAMWANGALIA DADAANGU,MAMAANGU,MWANANGU,AU NANI!wanawake walioolewa watanisaidia hapa
kaka jamaa kamwaga ugali..acha tu bibi amwage mboga
umeona eeh!?!
na mi nakwambia kabisa usijidanganye urudi kwa wazazi!
mimi waif angu hm kwao ni hapa hapa dar......!yani nakwambia akienda kuwachek wazazi anakaa nusu saa tu WANAMTIMUA.....''rudi kwa mumeo huko,unatutafutia kesi bure sisi.hatutaki kukaa na wake za watu''
hahahaaa... mkuu, hali ikzidi kuwa mbaya kuna dawa mbili tu... kushikamana au kutengamanahehehhe heh...ndio maana ndoa za kileo zimegeuka ndoana..!
ati? naye ajilipue?...jamaa si ndio atakuwa kajipatia sababu kabisaaa?
haya!
MJ1... we need you here, you are the guru of love, your artistical approach to tough stuff is highly regarded and i wouldn't trade that with even a single minute banDuh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
Wakuu Mbu na Baba G,
Mmesoma hiyo post ya FL1? Bado mna msimamo wenu wa kusubiri kumsikiliza mwanamume?
Baba G, dadako/mtoto wako akiwa hivyo bado utamfukuza arudi kwa mume?
Kama ndiyo basi nileteeni hao watoto niwalee kama yatima!
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
hehehehe!Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
umeona eeh!?!
na mi nakwambia kabisa usijidanganye urudi kwa wazazi!
mimi waif angu hm kwao ni hapa hapa dar......!yani nakwambia akienda kuwachek wazazi anakaa nusu saa tu WANAMTIMUA.....''rudi kwa mumeo huko,unatutafutia kesi bure sisi.hatutaki kukaa na wake za watu''
sasa mimi naona kama ni kitu ambacho kinamtrain bi-mama KUYAKABILI MATATIZO YAKE MWENYEWE!ukiingia kwenye ndoa JUST FACE CHALLANGES BASI!usiwe mtu wa kulia lia
Originally Posted by FirstLady1
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa
Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..
well,
sasa kama ANAMPIGA hilo ni swala jingine kabisaaaaaaaaaaaa!
MSIMAMO WANGU UPO INTACT!kwa maana ya kwamba kuna ''kitu''
...Pheeww, nimekusoma bro,
nimekusoma na hiyo quote ya FL1 kuwa jamaa aki explode na ku squeeze shingo ya mkewe, eeehhh!?
Jamaa ataua.
Hiyo ndoa yao imeingiliwa na 'fitna' kubwa sana,...kwa salama yao wote wawili inabidi watenganishwe tu.
Mumewe hawezi ku control temper yake, na mke anajidanganya labda mume atabadilika.
Kwani mume anahusu ile mikoa ya kule wenye asili za kijeshi jeshi na rigwaride mpaka kwenye maisha ya unyumba nini? Asili, mila na desturi ngumu kuachika... anahitaji counselling ya nguvu huyu braza.
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
Baba Gift umewapiga mkwara wakwe zako nini? mpaka wanamfukuza binti yao? kwani ukiwa mke wa mtu ndo huendi kwenu kusalimia?
Wala usipate pressure...dunia iko hivyo. Wengine wako mochuari, wengine labour na wengine wanafunga ndoa au ku-party muda huo huo.
yaani jamani ndoa haijavunjwa hata bikira vizuri waanze kupeleka matatizo kwa wazazi? amkomalie kwanza mwenyewe wazazi ni baada ya kuona hakuna mabadiliko.
...MwanajamiiOne Dont!!!,
"ukiona kwako kunaungua,....!"
huenda huyu mke anahitaji lile somo lako la khanga za india na 'Kama Sutra' za Nyamayao...
FL1 afikishe ujumbe tafadhali, print pages za ile mada ya 'Body Language' ...