My HaiR

My HaiR

hahaaa leo sijakuona siasani mbona!!!!!!!

wamefuta uzi wangu! nenda jukwaa la complaints kuna malalamiko yangu, hata hivyo nime-edit mods wanaudhi sana huko siasani, yaani wanapandisha hasira sana wale!

naomba nikunong'oneze:
TURUDIANE!!!! MIMI SI UNAJUA NAVYOKUPENDA!
(nimeamua kukunon'oneza hapa hadharini)
 
daaa hao watakuwa wasichana n si wanawake.
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor naomba nikupe dili basi besti yangu...
ntafutie mrembo mwingine manake huyu Heaven on earth hajatulia kabsaaa.. au nivunje mwiko kwa dismynder1 nini?

usijali mkuu, Heaven on earth ni wangu kitambo sana ila tu kuna kipindi tumekorofishana kidogo, sasa hasira zimeisha na tunarudiana! kwa kifupi mm ndio nimemwonyesha ulimwengu wa mapenzi kwa mara ya kwanza, yaani nimemtoa bikira! pia ana mimba yangu! mkakati uliopo ni wa kulea mimba yetu! au unataka tuongeze idadi ya watoto wa mitaani! USIOGOPE!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom