dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
wanawake wake wanapagawa na nywele zangu
wanawake wake wanapagawa na nywele zangu
Jamani!
Kwa hiyo???
Inanikera
Jamani we sinimetoka kukukagua, vipi tena?? Utachapwa atiii!!!!!
nyoa upara ngoto!
Naombeni RADHI member kwa Kauli ya My Hair
Jamani we sinimetoka kukukagua, vipi tena?? Utachapwa atiii!!!!!
arudi kwenye ukaguzi huyo
tumnyoe upara kabisaaaaaa!!
mgeni una kasi ya ajabu.....taratibu
Lady doctor nna mashaka na huu ukaguzi wa siku ya leo
dismynder1 c nimewaomba radh
Heaven on earth nishatengua kauli
wanawake wake wanapagawa na nywele zangu
heee
za wapi kwani
wanawake wake wanapagawa na nywele zangu
Niceeeeeeeee mafundisho! mkuu sasa hv ni goma la Eli79! sasa hv mm namuita shemeji! what a crazy life! mm nipo siasani kwa sasa! namtafuta mwanamke mwanasiasa ama m'ke mithili ya joyce kiria wa "wanawake live"sawa.....namna ya kummention mtu
bonyeza shift halafu @, halafu andika jina la huyo mtu, atapata mention
nb:
usitenganishe alama @ na jina la member, unaunganisha km sentensi moja!!!!
shukrani!!!!
mfano unataka ku-mention Heaven on earth kwenye hii sentensi!!
''........wewe Heaven on earth unampenda sana UNDENIABLE, mm nimekustukia kitambo sana,
'