My girl is better than yours

My girl is better than yours

[quote uid=374054 name="GedsellianTz" post=21756410]Ye naweza kuoa kwani nyumbani kwao nafahamika na kila mtu, tunasubiri mda tu ufike <b><font color="[HASHTAG]#ff0000[/HASHTAG]">ndio tufanye maamuzi sahihi kulingana na mda</font></b>.[/QUOTE]<br />Hapo pekundu umeniacha kidogo

Mkuu kumbe bado unamchunguza? Yan umekuja na ma proud hadi nikajisemea moyoni laiti kama My Chiku angekuw of this type i would have been a joyful man ever in my life!
 
unasubir amalize chuo ina maana ulipofukuzwa alikua mwaka wa ngapi mpaka umefanya biashara umemaliza umerudi chuo umemaliza yeye bado au ali disco
 
[quote uid=374054 name="GedsellianTz" post=21756410]Ye naweza kuoa kwani nyumbani kwao nafahamika na kila mtu, tunasubiri mda tu ufike <b><font color="[HASHTAG]#ff0000[/HASHTAG]">ndio tufanye maamuzi sahihi kulingana na mda</font></b>.
<br />Hapo pekundu umeniacha kidogo

Mkuu kumbe bado unamchunguza? Yan umekuja na ma proud hadi nikajisemea moyoni laiti kama My Chiku angekuw of this type i would have been a joyful man ever in my life![/QUOTE]
Simchunguzi mkuu labda hujanielewa vizuri, nilisema hivo nikiwa na maana kwa sasa ye yupo chuo hivyo nasubiri amalize ndio nimuoe sitaki kumchanganyia mambo ya ndoa na shule kwa wakati mmoja, mda sahihi wa ndoa ukifika tutafunga ndoa.
 
unasubir amalize chuo ina maana ulipofukuzwa alikua mwaka wa ngapi mpaka umefanya biashara umemaliza umerudi chuo umemaliza yeye bado au ali disco
Fatilia post zangu utaelewa ni kwanini mie niliwahi kumaliza tena kabla yake.
 
Mwaminifu kweli? Hebu weka kanamba tumfanyie interview mkuu" huwenda chui tu kavaa ngoz ya kondoo! Akikataa wote basi ujue huyo malaika umeshushiwa wewe tu.
 
Mwaminifu kweli? Hebu weka kanamba tumfanyie interview mkuu" huwenda chui tu kavaa ngoz ya kondoo! Akikataa wote basi ujue huyo malaika umeshushiwa wewe tu.
Mtamsumbua tu na haitakuwa interview tena bali usumbufu.
 
unasubir amalize chuo ina maana ulipofukuzwa alikua mwaka wa ngapi mpaka umefanya biashara umemaliza umerudi chuo umemaliza yeye bado au ali disco
Akikujibu unifahamishe [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom