My girl is better than yours

My girl is better than yours

nakupa ushauri,
ishi nao kwa akilia na ubunifu mkuu ili yanapotokea yale usiyoyatarajia moyo usikutoke
 
Unanikumbusha rafiki yangu alianza na mkaka akiwa chini na ndiyo aliemtoa bikira, walianza mahusiano tukiwa form two, basi wakaendelea mdada alimvumilia sana mwanaume muda mwingine wanashinda hata njaa. Mungu mkubwa wakaja kufanikiwa wakajenga, usafiri na miradi wakafungua ha ha ha hapo ndiyo picha ilipoanza hakuna rangi ambayo hakuacha kuiona!!

kitu kilichomfanya hadi avunje ndoa, alirudi ghafla nyumbani akakuta mumewe yupo na michana wa kazi wanafanya tendo la ndoa ndani ya kitanda chao.

Now yupo tu analea mtoto wao maana mkaka hashikiki wala hata kusikia kuhusu malezi ya mtoto, shosti wangu anasema hataki tena masuala ya kudate maskini kajifunza pakubwa sana.
 
Mind u namuamin ila sio 100%. Wenyewe watongoze ila namba zao atanipatia na ntaongea nao.
Hata Nickname basi tumtafute Pm..! Au hayupo humu? Hata fb weka jina tafadhali, au nitumie mimi tu namba Pm..! Nikimshindwa mimi, basi mkuu ntamvisha nyota hata za kumzidi brigedia siro pale ikulu. Ili ujue kitu ni bora lazima utesti bwana, fanya hizo contact nitakupa mrejesho baada ya wiki mbili hivi!
 
Safi kwa kubahatisha huyo.
Omba asibadilike maana maumivu yake ni kiboko.

Ukipendwa pendeka......
 
Unanikumbusha rafiki yangu alianza na mkaka akiwa chini na ndiyo aliemtoa bikira, walianza mahusiano tukiwa form two, basi wakaendelea mdada alimvumilia sana mwanaume muda mwingine wanashinda hata njaa. Mungu mkubwa wakaja kufanikiwa wakajenga, usafiri na miradi wakafungua ha ha ha hapo ndiyo picha ilipoanza hakuna rangi ambayo hakuacha kuiona!!

kitu kilichomfanya hadi avunje ndoa, alirudi ghafla nyumbani akakuta mumewe yupo na michana wa kazi wanafanya tendo la ndoa ndani ya kitanda chao.

Now yupo tu analea mtoto wao maana mkaka hashikiki wala hata kusikia kuhusu malezi ya mtoto, shosti wangu anasema hataki tena masuala ya kudate maskini kajifunza pakubwa sana.
Eti kudate na masikini, mie nipo vizuri sema kuna kipindi mambo yalienda ovyo sana upande wa familia yangu ndio hicho kipindi sikuwa na pakushika but by nw nipo poa.
 
Hata Nickname basi tumtafute Pm..! Au hayupo humu? Hata fb weka jina tafadhali, au nitumie mimi tu namba Pm..! Nikimshindwa mimi, basi mkuu ntamvisha nyota hata za kumzidi brigedia siro pale ikulu. Ili ujue kitu ni bora lazima utesti bwana, fanya hizo contact nitakupa mrejesho baada ya wiki mbili hivi!
Hahahaaaa mkuu fb, jf pote hayupo....sio mpenzi wa mitandao ya kijamii
 
Eti kudate na masikini, mie nipo vizuri sema kuna kipindi mambo yalienda ovyo sana upande wa familia yangu ndio hicho kipindi sikuwa na pakushika but by nw nipo poa.
Yaan wewe umeona pa maskini tu? na nani kasema wewe maskini? nilikua nakuonyesha wadada wa hivyo wapo sema baadhi ya wanaume wakifanikiwa wanawasahau!! ila wewe umekimbila vya umaskini ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom