My girl is better than yours

My girl is better than yours

Ww jamaa naona ww ndo utakuja mtosa huyo binti siku moja kulingana na back ground yako.
 
Wewe ndugu yangu wewe, hawa viumbe sio wa kuwaamin kiivyo kaka! Tena ni bora umnadi huku kwa kuwa wote hatuwajui, usije jigamba hivi mtaani kwenu, mwisho wa siku ukashindwa hata kutoka ndani zikitimia! Nyi ndo mnajinyongaga mwisho wa siku
Ninamuamin ila sio 100%, ninaishi nae kwa akili sana akibadili gia angani ntakuwa nshajiandaa japo wote hatutegemei hayo kutokea. Nshatendwa sana so nawajua hawa viumbe lakini kwa wote huyu ni tofauti sana.
 
Ww jamaa naona ww ndo utakuja mtosa huyo binti siku moja kulingana na back ground yako.
Back ground yangu naifahamu vizuri, siwezi mtosa kabisaa japo nae anaifahamu background yangu cz sikutaka kumficha. Ili kama anakubali akubali toka moyoni.
 
Mkuuuu umetudanganya tena uongo mtakatifu tuombe msamaha kwa sababu wewe ulituambia ulifukuzwa chuo wakati mkeo akiwa chuoni mkawa mnatumia boom la mkeo iwaje uje uwahi kumaliza chuo umuache yeye chuoni kua na acha uongo
 
Sio uongo mkuu, mie elimu niliyonayo ni ya kozi fupi ambayo nilisoma kwa mda wa mwezi mmoja tu. Sikutaka kurudi chuo kusoma miaka tena kwani nilikuwa nshapoteza mda wa kutosha. Nidanganye ili nifaidike na kitu gani?
 
Mkuuuu umetudanganya tena uongo mtakatifu tuombe msamaha kwa sababu wewe ulituambia ulifukuzwa chuo wakati mkeo akiwa chuoni mkawa mnatumia boom la mkeo iwaje uje uwahi kumaliza chuo umuache yeye chuoni kua na acha uongo
Ameingia first year mwanzo wa semister ya pili mie nkafukuzwa chuo, mwaka wa pili wake yeye mie nkasoma kozi fupi nkamaliza ye still akiwa chuo, nw nipo kitaa still bado yupo chuo pia. Siwezi kuwa muongo kamwe.
 
Jaman kila mwanaume akitoa sifa za girl wake hapa patachimbika na Mapenzi ya sasa hivi hayana hata Heshima haukuna usiri Mapenzi ni Siri kutoa sifa za Girl wako kuwa mzuri sijui nini ? Huyo huyo unaemsifia kuna mwingine kwake ana ona takataka tuu ndyo maana hatuishi kusaliti katika Mapenzi leo wewe unaona huyo kwako ni Mzuri Haswa na Yeye anaona wewe ni Mzuri haswa yani kujua kwanu uzuri wa mtu kumeishia hapo hamjatembea na kuona kunawanawake wazuri na wanaume wazuri kishenzi Mpk unajiuliza huyu anajamba hata kujamba kweli yaan ukimwona mwili unapata ganzi yaan dem weunamuona Mkali mwenzio anaona kikaragosi tuu tuache kuanika anika Mapenzi wazi wazi Mapenzi ni Siri yako
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
 
Sina nia mbaya, wewe oa halafu baada ya miaka 3 ya kuishi pamoja, amka pamoja na kujambiana kitandani, uje hapa utupe mrejesho.
So unataka kusema kwa sasa hakuna kabisa mapenzi ya dhati? Au wanawake wema hawapo kabisaa?
 
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
Nisipomsifia mtu anayenipanulia mapaja, unataka nikusifie wewe? Mapenzi nimeanza kitambo mkuu sio leo wala jana. Ila for da past 7 years nimetulia
 
So unataka kusema kwa sasa hakuna kabisa mapenzi ya dhati? Au wanawake wema hawapo kabisaa?
Kama umepata mpenzi mwenye sifa za kuwa mke, mshukuru Mungu. Sio uje hapa kututambia. Maisha ya mapenzi sio tambarare, wewe umetuonyesha tambarare-ndo maana nikasema huyo lazima atakuwa malaika.

Maandiko ninayoyaamini yanasema 'Enyi wanaume,ishini na wake zenu kwa AKILI/Hekima'. Mungu alikuwa na maana kubwa sana ambayo kwa sasa huwezi kuielewa maana umezama kwenye dimbwi la mahaba.
 
Hivi dunia hii bado kuna wadada wa namna hiyo!!! Aisee, ila wakati mwingine nadhani mazingira tunayoishi/kufanyia kazi yanatufanya tusiamini uwepo wa wadada kama huyo wako mkuu!!! kwa kweli mimi sehemu ninayoishi/kufanyia kazi havijawahi kunishawishi niamini uwepo wa wanawake kama huyo wako, yaani kwa siku unaweza kutambulishwa zaidi ya wanaume 2-4, sasa najiuliza wapo kweli namna hiyo!!!!
 
Ndio maana nkasema nuamini ila sio 100%, pia nina ishi nae kwa akili sana cz nawajua hawa watu. Sijapinga kauli zako.
 
Hivi dunia hii bado kuna wadada wa namna hiyo!!! Aisee, ila wakati mwingine nadhani mazingira tunayoishi/kufanyia kazi yanatufanya tusiamini uwepo wa wadada kama huyo wako mkuu!!! kwa kweli mimi sehemu ninayoishi/kufanyia kazi havijawahi kunishawishi niamini uwepo wa wanawake kama huyo wako, yaani kwa siku unaweza kutambulishwa zaidi ya wanaume 2-4, sasa najiuliza wapo kweli namna hiyo!!!!
Nilipotendwa sana niliamini mapenzi ya kweli hayapo, but nilimuomba mungu sana na sasa naamini still mapenzi ya dhati yapo, sema kwa wanawake wachache sana.
 
anasomea masters au phd, manake umesema mlianza mahusiano akiwa chuo na mnamiaka 7 sasa, kama ni degree anatakiwa awe amemaliza
 
Back
Top Bottom