My girl is better than yours

My girl is better than yours

Yaan wewe umeona pa maskini tu? na nani kasema wewe maskini? nilikua nakuonyesha wadada wa hivyo wapo sema baadhi ya wanaume wakifanikiwa wanawasahau!! ila wewe umekimbila vya umaskini ha ha ha ha
Sijakupinga lakini angalia ulivomaliza post yako "kudate na maskini" anyway wadada wa namna hii wapo wengi sana tatizo linakuja kwa baadhi ya wanaume pia hatuna shukrani.
 
Sijakupinga lakini angalia ulivomaliza post yako "kudate na maskini" anyway wadada wa namna hii wapo wengi sana tatizo linakuja kwa baadhi ya wanaume pia hatuna shukrani.
yes huo ni msimamo wake kwa sasa, kila la heri katika mahusiano yako Mungu awatangulie.
 
Hongera sana mkuu......

Wanawake wa dizain hiyo wapo wachache sana miaka hii.

BTW: Ulianza kumdate akiwa darasa la saba nini??
 
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
Sishangai kuona comments kama hizi
binadamu hatuna jema na ndicho mnachowaza ama mlilokua mnstarajia kusikia kwamba amesalitiwa mara anamegwa n.k
mana mnatarajia kuona akileta thread ya kwamba ameumizwa ili mfurahi vizuri kwa comments zenye kejeli.
aise kunywa sumu if you cant stand your fellow man having his super woman on his life and he is proud of her, if you dont have one and you feel jelousy please eat or drink poison.
 
Back
Top Bottom