My girl is better than yours

My girl is better than yours

anasomea masters au phd, manake umesema mlianza mahusiano akiwa chuo na mnamiaka 7 sasa, kama ni degree anatakiwa awe amemaliza
Rejea andiko langu vizuri, sijasema nilianza mahusiano nae akiwa chuo. Nimeanza mahusiano nae akiwa still o level
 
WANAUME TATIZO LENU HAMUAMINIKI,,UKIPATA KAZI NA VIHELA HAPO NDIO ATAJUA KAMA UNAMPENDA AU VIP
 
Habarini wana MMU,

Leo nimeamua kushare kitu nanyi juu ya mahusiano yangu ambayo nipo proud sana kuwa nayo.

Nipo kwenye mahusiano takribani miaka saba sasa binti niliyenae nimuelewa sana sana, anajua ni nini tafsiri ya maisha kwani kwa miaka hii yote japo sijamuoa lakini amesimama kama mke mtarajiwa kwangu. Msemo wake hataki kupoteza nafasi hii.

Nilimkuta akiwa bikra miaka kadhaa iliyopita niliweza kuwa mwanaume wa kwanza kwake. Hajawahi kuniomba hela hata mara moja ila huwa ananiambia hawezi niomba hela ila nikiona ana tatizo basi nijiongeze kumpa hela. Am proud of her kwani kuna muda chuoni nilikuwa naishi gheto naye akaamia kwangu tulisaidia kwa kila kitu.

Binti alikuwa yupo radhi akae wiki hata mbili bila kusuka ili ile hela akanunue mboga na unga tuweze kula. Kipindi hicho ndicho nilichamini kuwa nimepata mke kabisaa kwani nilifukuzwa chuo. Aliweza nishauri sana kuwa nisirudi nyumbani nikae nae ye akiwa chuo mie nianze kufanya biashara then baada ya muda ndo nirudi chuo tena.

Nilikubaliana nae na boom lake lilipotoka siku moja ghetto usiku tumemaliza kula aliweza nipatia laki tano at that time alikuwa only 22 yearz kweli boom lake alibakiwa na hela ndogo akanisihi niwe nafata mzigo wa nguo za kike then ye atakuwa anaenda nazo chuo kuuza kwa wadada wenzake.

Tuliweza kupata hela ya kula na maisha yaliweza kwenda taratibu, mwaka ukaisha ikanibidi nirudi chuo alisimama nami kwa hali yote akinambia ule mtaji ndio niongeze nkalipie ada. Finally nishamaliza chuo now nipo naangaika na ajira.

Upande wa maisha yangu na yeye tunaishi vizuri hana kiburi, hapendi kujiona yeye ndio yeye japo ni mzuri sana. Ghetoni kwetu kachangia vitu vingi nami pia nimechangia vitu vingi tu hakika ni muelewa wa hali ya juu kwani hana tamaa ya pesa kwani kwao wapo vizuri. Siku zote huwa ananiambia anafanya haya yote sababu ananipenda na hataki kunipoteza na kama siku nikitaka kumwacha bora nimpe mimba ndio nimwache.

Tumesaidiana mambo mengi nikiwa na shida she is alwayz there now nasubiri tu amalize chuo nioe kabisa kabisa.
Mara nying WANAUME HAWAWAPENDI WANAWAKE WANAO WAPENDA.....

Ikitokea umempata mwanamke ambaye pia mama yako/mlez na wew UWE MUME WAKE NA BABA YAKE/mlez wake......

Praying never END& Gracing never PERISH
 
Bro umeusemea moyo wangu, nlihc Niko pk yangu nliyejaaliwa msichana kama huyo
 
Ila huyo dada ajiandae kuumizwa, mahusiano ya hivyo wengi huishia kulia hasa wadada na tatizo mmeshakaa mud mrefu sana ameshakuwa kama mke bado tu kuhalalisha na hilo ni tatizo ila hamjalijua mpaka pale mtakapoamua kuhalalisha, utuletee tu mrejesho
 
Usijali nikianza kugawa kadi za mchango wa harusi utakuwa wa kwanza kupata.
 
Ninamuamin ila sio 100%, ninaishi nae kwa akili sana akibadili gia angani ntakuwa nshajiandaa japo wote hatutegemei hayo kutokea. Nshatendwa sana so nawajua hawa viumbe lakini kwa wote huyu ni tofauti sana.
Niongozee kwa kusema ukipata mke mwaminifu na mwema ukiona amebadilika ujihoji mwanaume ,other wise mke hawez badilika km amekukubal kwa hali yoyote
 
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
Acheni wivu,km mnawapata vicheche ni nyie ,mlitaka aje amponde mkewe /mpenz wake km ulivyoea ni ninyi kuna watu wana chembe ya hofu na mungu
 
Achana nao, ifike mahala hata wanawake wanahitaji kusifiwa na kupewa thamani yao kama mama zetu na wake zetu.
 
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
Afu pia ni kawaida yenu MTU akiwa ametulia au kuonyesha kumpenda mkewe mnamwita mshamba na hata anayejaribu kuepuka na uovu mnamwita mshamba pole yako sana ni heri mumone mshamba kuliko mnaojifanya WA mjini kumbe watumwa na wasaidizi WA shetan
 
Back
Top Bottom