NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Posta ningeweza kuamini sababu agents wa TRA huwa wameridhika na hawakagui mizigo ikifika pale posta na huwa mizigo ya posta hawekwi katika custom warehouse kama ilivyo mizigo ya Fedex na ndugu zake.
Posta mizigo inapelekwa TRA kama kawaida tu, Mzigo wangu ulifika nikaenda kuuchukulia TRA, walinam ia laki mbili ambayo ni sawa na bei ya kitu cha chenyewe tukasumbuana nikachukua mzigo kwa buku hamsini, Sema vitu used kama hivi na kama simu utapata exemption from tax labda kama umenunua in bulk, ila kama ni kimoja kimoja siku hizi unachomoka vizuri tu..