My first ebay Shipment

My first ebay Shipment

Mkuu, soma kwanza trend ya thread yote kabla hujaropoka... donlucchese hajasema kuwa ana ndugu huko US, amejiunga kwenye web ya MyUS ambayo inampatia address ya marekani...

shukran kwa kunisaidia mkuu!
 
Last edited by a moderator:
kwanini usimueleweshe ili aelewe? ila umekuwa na majibu mafupi sana kama mchina ,maelezo yako hayatoshi kueleweka

kaka poppte ambapo unahisi hapajaeleweka vyema useme tu nijaribu kukuelewesha.ndio dhima yetu huku Tech kuwekana sawa kinagaubaga!
 
Hiyo simu will not work in TZ, ni CDMA phone na hapa providers wetu ni wa GSM, the only CDMA providers ni Sasatel na TTCL(Not sure if bado wapo in business) and you know how those works
na zantel ndugu..
 
nimefanikiwa kufunua myus account ila sasa kwenye kuweka new address kwenye account yangu ya ebay napata shida kidogo, SARASOTA haipo kwenye states kama unaweza kutupa mwangaza kidogo kwenye kufill adress ili nijaribu kununua hata item ya $10 jus fo trial niwape feedback matechgeek wenzangu wa jamiiforums.,
 
So jamani hapa kwetu CRDB peke yake ndio inaruhusu kufanya shoping online,au kuna bank nyingine
 
Sarasota sio state, ni city in Florida State(FL)
 
1.Ebay shipping nyingi NI Njia ya posta hivo utaenda chek kwenye box lako...ushuru unaweza lipa kutegemea na quantity ya mzigo ulionunua....vitu vingi kwa ajili ya personal use kama ni 1pc wana neglect ushuru hivo ukinunua kitu kina free shipping bei uliyolipa eBay hautolipa nyiingine....si kushauri ukaingiza mizigo mikubwa kidogo kwa dhl ni fast na secure lkn ushuru utaalipa na mzigo waweza kaa siku nyingi ajabu

2.myus itakusaidia iwapo merchant aship Tanzania...myus wanakupa us adress mzigo unawafikia wao na wanakupa notification kuwa umefika na je unataka ushipiwe kuja Tanznia kwa njia gani....ukichagua Fedex au DHL basi ujue mzigo utaletewa hadi unapoishi sana sana ss tusiokoa remote areas za DSM

kwahiyo unashauri njia salama na ya haraka ni kutumia MyUs? Gharama za kutuma mzigo kwa mwaka zipoje? Wana charge gharama za mzigo au unalipia kwa mwaka halafu unakuwa hulipi kila unatuma mzigo?
 
So jamani hapa kwetu CRDB peke yake ndio inaruhusu kufanya shoping online,au kuna bank nyingine

as long as card yako ni master au visa, you cn request ur bank for e-banking service
 
Sidhani kama bank zote zina sapport hicho kitu hapa kwetu
 
In detail report kuhusu myus.com:
hawa ni kama host couriers ambao wanakufadhili kwa kukupa anuani marekani,anuani ambayo sasa unaweza kununua bidhaa kwa muuzaji (seller) yeyote wa ebay,amazon na hata official sites kama apple,dell na nyinginezo. unapokuja kwenye kujaza anuani ya manunuzi na usafirishaji(shipment address/address) unajaza anuani ambayo umepatiwa na myus.com.. kitakacho fanyika ni mzigo wako unakwenda kwenye address ambayo ulipewa na myus.com na wenyewe watakujulisha kwa njia ya email au simu na kukuuliza ni kwa njia gani ungependa mzigo wako ukufikie,wenyewe wataingia gharama kukusafirishia mzigo wako na watakukata automaticaly kwenye account yako(hadi uverify lakini) na mzigo wako utakufikia saafi kabisa..hivyo hawa jamaa ni salama na wako certified na wana fanya hii huduma kwa muda mrefu sasa

vyakuzingatia ni hivi:
-utajaza fomu ya registration ambayo utaandika anuani yako na sehemu halisi uliyopo,hakikisha una kadi ambayo imewezeshwa kufanya malipo ya mtandaoni(e-banking,online purchases almost bank zote zinafanya kasoro NMB)
-utakatwa kiasi cha dola 10$,kama registration fee
-tunza password yako na suite namba ambayo ni kama username yako(muhimu sana)
-KUMBUKA kuwa anuani yako ya manunuzi sasa itakuwa ni hii ya myus.com na sio hii ya bongo hivyo nenda kwenye profile yako ya ebay au mtandao wowote unaofanyia manunuzi na uibadili address yako kuwa hii ya myus.com
-kumbuka kuangalia email yako na simu yako kama umeshanunua kitu kwa kutumia myus kwasababu watakutafuta uverify shiping method ya kuja kwako
-sasa unaweza kununua chochote kokote duniani kwakuwa tayari una address ambayo inaeleweka na ina julikana ilipo

my fellow Geeks nawashauri msiogope haya mabo wala msisite kwasababu kuna waoga wachache wanafanya mabo yaonekane ni magumu kwa wote kaajili ya woga wao,jaribu na jaribu,uliza ukishindwa na usisahau kuwa MAKINI MNO. usikurupuke maana haya mambo yanataka uchunguzi kidogo.
kwa upande wangu nimeagiza earphone original kutoka applestore( sio ebay nazungumzia mtandao official wa apple) na wamecomfirm mzigo utafika kesho jioni kwenye address yangu ya myus.nitazidi uwapa data ndugu zangu.,
leteni maswali (though sipo online muda wote)
tembeleeni hii website ya MYUS.COM kabla hamjauliza maswali wakuu.jionee kwanza ukikwama leta hoja tulijadili wote.sote ni wageni kwa haya mambo
joe out...
 
Ahsante joe lubyama. Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndio?
 
In detail report kuhusu myus.com:
hawa ni kama host couriers ambao wanakufadhili kwa kukupa anuani marekani,anuani ambayo sasa unaweza kununua bidhaa kwa muuzaji (seller) yeyote wa ebay,amazon na hata official sites kama apple,dell na nyinginezo. unapokuja kwenye kujaza anuani ya manunuzi na usafirishaji(shipment address/address) unajaza anuani ambayo umepatiwa na myus.com.. kitakacho fanyika ni mzigo wako unakwenda kwenye address ambayo ulipewa na myus.com na wenyewe watakujulisha kwa njia ya email au simu na kukuuliza ni kwa njia gani ungependa mzigo wako ukufikie,wenyewe wataingia gharama kukusafirishia mzigo wako na watakukata automaticaly kwenye account yako(hadi uverify lakini) na mzigo wako utakufikia saafi kabisa..hivyo hawa jamaa ni salama na wako certified na wana fanya hii huduma kwa muda mrefu sasa

vyakuzingatia ni hivi:
-utajaza fomu ya registration ambayo utaandika anuani yako na sehemu halisi uliyopo,hakikisha una kadi ambayo imewezeshwa kufanya malipo ya mtandaoni(e-banking,online purchases almost bank zote zinafanya kasoro NMB)
-utakatwa kiasi cha dola 10$,kama registration fee
-tunza password yako na suite namba ambayo ni kama username yako(muhimu sana)
-KUMBUKA kuwa anuani yako ya manunuzi sasa itakuwa ni hii ya myus.com na sio hii ya bongo hivyo nenda kwenye profile yako ya ebay au mtandao wowote unaofanyia manunuzi na uibadili address yako kuwa hii ya myus.com
-kumbuka kuangalia email yako na simu yako kama umeshanunua kitu kwa kutumia myus kwasababu watakutafuta uverify shiping method ya kuja kwako
-sasa unaweza kununua chochote kokote duniani kwakuwa tayari una address ambayo inaeleweka na ina julikana ilipo

my fellow Geeks nawashauri msiogope haya mabo wala msisite kwasababu kuna waoga wachache wanafanya mabo yaonekane ni magumu kwa wote kaajili ya woga wao,jaribu na jaribu,uliza ukishindwa na usisahau kuwa MAKINI MNO. usikurupuke maana haya mambo yanataka uchunguzi kidogo.
kwa upande wangu nimeagiza earphone original kutoka applestore( sio ebay nazungumzia mtandao official wa apple) na wamecomfirm mzigo utafika kesho jioni kwenye address yangu ya myus.nitazidi uwapa data ndugu zangu.,
leteni maswali (though sipo online muda wote)
tembeleeni hii website ya MYUS.COM kabla hamjauliza maswali wakuu.jionee kwanza ukikwama leta hoja tulijadili wote.sote ni wageni kwa haya mambo
joe out...

Ahsante joel lubyama. Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndio?
 
kwanini usimueleweshe ili aelewe? ila umekuwa na majibu mafupi sana kama mchina ,maelezo yako hayatoshi kueleweka

Hakuna haja ya kumuelewesha, cha kumshauri tu ni kwamba asome kwanza uzi kabla ya kukimbilia keyboard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom