LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
sio kumtisha kamuulize na Brakelyn au kasome comment yake kuhusu Aliexpress...
Ikumbukwe hadi eBay matapeli wapo ndo maana tunashauriwa kununua kwa wale wenye positive score nzuri tu
Mbona siku nyingine niliagiza Huawei 3131 ikafika bongo kutoka aliexpress bei zao ziko poa ila ikumbukwe ni Chinese product pia...
Unanunua simu wamekwambia 8GB ROM ukiweka movie za 1GB simu inapiga kelele battery low...hivo kua makini kitu unachonunua
hicho cha ubora wa bidhaaa MKUU ni shidaa sana aisee nimekuwa nikijiuliza kila siku bila kupata jibu sababu nilikuwa naangalia mashine car diagnosis mashine.
nikiangalia eBay Naona bei juu nikichungulia aliexpress naona bei iko chini nikiangalia sifa za mashine Naona sawa KAZI za mashine ni sawa.
Mkuu ni upande upi una bidhaa zenye ubora kidogo??
maana mtu unanunua mashine ya mamilion then inakuwa feki mbona balaa.
Last edited by a moderator: