Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
ahsante joel kwa maelezo mazuri. Kwa mfano seller kaandika pale free shipping worldwide. Kwa uelewa wangu hapo MyUs haina haja kwa sababu utakuwa una incur gharama isiyo na lazima
Sio wote tunataka Hizo free shipping sababu ziko slow na kitu unakuta kipo immediate...wengine sellers unakuta eti dawa ya ugonjwa fulani kuisafirisha analuwekea 14$/pc moja sasa hapo kama nataka chupa tano ntaumizwa bora nitumie myUS watafanya free kwenda kwao afu mm ntawaamuru waziship via DHL kwa bei ya 38$ hivo kaka usiangalie upande mmoja wa Free shipping kuna wengine shipping yao bei kubwa sana kuliko hata ukiwatumia myus na at more fast shipping courier