nimeelewa fulani baada ya kuchukua kama 30minutes kusoma
consolidation------Yaani unaweza ukanunua mizigo mitano afu bado ika-packiwa kama carton moja ku-minimize cost
Merchandise-----Mzigo utakaotumiwa
repackaging-----Kuna merchants wana-pack mzigo kiasi kwamba unakua mkubwa hivo myUS wanaweza repack huo mzigo ili kupunguza uzito...hivo kukupunguzia hipping fee
Simu yako haukuilipia ushuru sababu The TAX/DUTY DEMINIMUS in TZ is 50$ yaani mzigo uliochini ya hiyo thamani hautozwi ushuru
Japo sikuelewa hapo juu uliponambia umedeposit 55$...hizi zote zilikuwa zakusafirishia simu au ni nn?
This is BEST thread form 2013 ....maana hamna thread JF mwaka huu imeniongezea Knowledge zaidi ya hii
THANKS FOR SHARING