Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
hapana kaka merchant anaangalia address uliyoandika kwenye purchase invoice form,kwamfano,.. Ebay wanatumia user address na sio paypal address.., ukienda kila store wanakupa option ya shipping address.,paypal ni payment method and not shipping method mkuu. hata dell,applestore na almost store zote nilizotumia mwisho wa kucheck out ili ununue item lazima uletewe shipping address,hapa sas ndio unatumia myus address yako.,hope umenielewa mkuu
Nimekusoma mkuu sasa kimbimbe kingine kinakuja shipping adress niliyoweka imetofautiana na niliyotumiwa kwa vitu baadhi sasa sijui haina shida hiyo?
Hii ndo niliyotumiwa
Baada ya kujaza Ebay inatokea hivi