well said brother.. ni rahisi kupitia wewe na hata kama mtu akitaka kuship kwa DHL unaweza kum-assist kwa kuandika kuwa ni gift ili yeye akwepe kodi ikifika bongo, nimeipenda na nadhani ni nzuri, ila ninapokuja kuuliza ni suala la uaminifu na uharaka na gharama, kwamfano naelewa unaweza kupokea mzigo wangu ukaniambia haujafika au ukafika ukaniambia unataka nikupe gharama za ziada za muda wako utakaotumia nikakuta ni za juu sana mpaka nikajuta nikakosa kwa kuripoti, alichosema
CYBERTEQ ni sawa kuwa atleast fungua page,weka na maelezo mazuri kuwa wewe unataka kiasi gani kupokea na kumpelekea mtu mzigo DHL kwaajili ya shipment na shipment cost iwe juu yake mnunuzi wewe unachotaka ni cost ya muda wako wa kupokea na kutuma,utakuwa umerahisisha na wateja tupo,
JZHOELO,
njunwa wamavoko ,na wengineo.. jaribu kama unaweza na kama una muda , unaweza ukapata big profit na ukafanya personal bussiness mkuu.