MYUS.COM EXPERIENCE THE BAD AND THE GOOD
Baada ya kupata hii knowledge within that day ilinibidi nifungue myus.com account na nikaanza manunuzi mara moja mm niliyafanya for the sake of kujaribu maana Posta inanitosheleza ku-import mizigo tena yenye thamani kubwa...mfano nimeagiza TABLET from CHINA yenye thamani ya 328$ ambayo nayo nilinunua eBay na ilinifikia kwa njia ya Posta ikiwa salama kabisa na ndani ya 14days
Nilipofungua myus mm nililipia PREMIUM ACCOUNT Maana kuna discount ktk shipping price pia wanaweza kukutunzia mzigo mpaka 30days baada ya hapo kila mzigo na kila siku inayoongezeka unalipia 1$ lkn 30days ni nyingi mno
Nilinunua 7 items zenye thamani ya 95$ kutoka eBay na zote nilizidirect katika adress yangu ya US mizigo ilipotimia na nilipoona vihela nilivyokuwa nimeweka kwene account vimeisha(siwekagi hela kwenye acc yangu ya Online purchase mpaka niwe na shida kufanya hivo...hii ni kwa usalama zaidi),NILI-ORDER MYUS wasafirishe mizigo yangu na ilikuwa na uzito wa 3.4lbs sasa mm nilitumia online calculator ya shipping price nikaona bei ya fedex na DHL tofauti ni 6$ ambayo likuwa 60$ nikasema kwa kuwa sijawai kuwatumia FEDEX ngoja niwajaribu kwa hii issue....
Baada ya siku nikaambiwa DIMENSIONAL WEIGHT yangu sio 3.4lbs bali ni 7lbs na shipping price ni 83$ ambayo ni kubwa sana kwangu mm
Walisafirisha mzigo japo hata hela yao walikuwa hawajakata kwenye account yangu maana ina 0TZS hivo bado wananidai japo mizigo wameifikisha salama salimini within 3days(waweza tazama picha)
NOTE:Mtu usitumie myus.com kuship mzigo ambao kumbe ungeu-ship kwa posta vitu kama simu,tablets au more expensive na ambavyo hawaship kuja BONGO waweza watumia myus.com
Nasem hivi kwa maana kuwa hawaship mizigo kwa kutumia cheap shipping couriers kama USPS zaidi ni DHL na FEDEX amabazo bei zake ni expensive sana na unaweza kuta bei ya kuship inazidi bei ya kifaa ambayo practically ni non sense
Nawasubiri na wengine
joel lubyama waje kutoa feedback maana walidai wameagiza earphone kutoka apple store hope watatupa experience ya huko maana mm nimetoa experience ya eBay zaidi
donlucchese Thanks for this knowledge once again
SHARING IS CARING
asante sana kwa taarifa 😀 kwani ku ship kwa posta vitu vidogo kama simu hua havitozwi? kama mim nataka ninunue ps3 je njia ipi ni nzuri kwa hyo kitu?😜