My first ebay Shipment

My first ebay Shipment

Huu uzi umenielimisha sana, shukrani kwa mtoa mada na wachangiaji wote
 
joel lubyama

Naomba msaada wako I see Hivi Amazon kumbe hawatumii PayPal
Je,nikiweka Card zangu si watanikata ile Hela ya Amazon Prime maana wanasema Free unatumia mwaka mmoja baada ya hapo kila mwaka 79$ sasa hii siwata-force waikate hata kama sina time nao

Mwenye ufafanuzi naomba

You can always cancel it when trial period is over
 
Yanini ununue bidhaa kutoka usa wakati kuna mtandao bomba kabisa wa kuuza bidhaa hapa bongo? uzeni simu zenu,gari ana kila bidhaa bureee Dalali Ads
 
Africa faithfullnes is equal to zero wakati ndo core unit ya online businness...
Ss hatununui tu USA hata china ili mradi tu tunachoitaji ni BUYER PROTECTION kama hiyo link ina buyer protection basi tutaanza kuitumia pia sio votu vyote utavikuta kwenye hizo site za kibongo mfano mm nataka VIAGRA hapa lazima ebay au amazon iusike
 
Yanini ununue bidhaa kutoka usa wakati kuna mtandao bomba kabisa wa kuuza bidhaa hapa bongo? uzeni simu zenu,gari ana kila bidhaa bureee Dalali Ads

tunanunua usa kutokana na utapeli wa waswahili. mswahili atakudanganya hii genuine hata india hupati hii... lakini mzungu atakwambia hii feki au hiki kitu kibovu. unanunua unajua unachokinunua ni kibovu. lakini mswahili hakawii kukufanyia mambo ya ajabu
 
oi don,jamaa wa myus wanatumia nini kucharge gharama ya shiping(uzito,price ya bidhaa au) na ikiwa free shpng pale dhl or fdex unalipa kitu?

Ukiingia kwenye web yao kaka kuna calculations flani hivi sijui unachukua L X W/WEIGHT am not sure ila kwenye web yao kuna maelekezo kaka. Then kama ni free shipping nadhani hawakucharge ila for consistensy kwann usiwe na 2 adresses kaka? Kama ukifanya purchas ya kitu chenye free shipping basi unatumia anuani ya bongo moja kwa moja ila kama kuna shipping costs ndio utumie ya MyUS

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
oi don,jamaa wa myus wanatumia nini kucharge gharama ya shiping(uzito,price ya bidhaa au) na ikiwa free shpng pale dhl or fdex unalipa kitu?

Kama upo DAR nakushauri fedex iwapo difference ya bei ni ndogom...maana hawa maofficer wa TRA wana njaa kinyama pale DHL
 
Kwa marekani mpango mzima ni USPS ... dola 10 simu moja mpaka bongo 3-5 days.
DHL na FEDEX wazuri kwenye cargo kubwa...
 
Daah hii sijangongana nayo I see kumbe nayo tamu hii USPS sasa hii inatofauti gani na UPS afu naonaga usps priority mail sijui na extended mail
 
Kama upo DAR nakushauri fedex iwapo difference ya bei ni ndogom...maana hawa maofficer wa TRA wana njaa kinyama pale DHL

nimenunua saa za mkononi 3 jumla yake kama 70000 na memory cards 3 kama sh 50000. nitakatwa kodi??
 
Kama ni DHL lazima uache chochote...lkn posta hiyo haina shida kabisa hamna ushuru maana packets nyingi zinazokuja kwa posta huwa hazina hata invoice na nahisi hazikaguliwi maana naonaga zangu hazijaguswa...lkn dhl box linachanwa kabisa...afu anda TIN number kabisa
 
Daah hii sijangongana nayo I see kumbe nayo tamu hii USPS sasa hii inatofauti gani na UPS afu naonaga usps priority mail sijui na extended mail
USPS EMS mzigo ukifika unapigiwa simu.

USPS ni posta ya serikali, United States Postal Service.
UPS ni binafsi, United Postal Service
 
DHL wana ofisi Dsm. Je hawa USPS wana office hapa dsm? Na kama hawana ..mzigo wako unauchukulia wapi?
 
EMS Wana ofisi mikoa mingi tu .... early January nilitumiwa GPS tracking device Mbeya kutoka states, na wala sikulipa kodi niliwaambia ni pembejeo ya kupima mashamba.
USPS wana EMS ambayo ina matawi bongo mikoa mingi tu.Especially DSM , ofisi ya posta ya mkoa lazima kutakuwa na EMS.
 
Ofice za posta hizo hizo ndo za EMS
Ingekuwa dhl huwez wadaganya eti ni pembejeo...kama hawajui wanasoma manual ya kifaa mpka wakijue afu taratibu za kukubamiza zinafuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom