My first ebay Shipment

My first ebay Shipment

Hii kitu mi nliiona tangu mwanzoni (refer attachment). Sema labda wadau hamkunielewa. Bora sasa tuna ushuhuda so sasa hv wadau tutafanya proper decisions tukitaka kufanya manunuzi ya mtandao. Cc @ njunwa wa mavoko
 
Attachments

  • 1391625664107.jpg
    1391625664107.jpg
    62 KB · Views: 202
sooo true kaka, DHL na FEDEX ni too expensive, istoshe kuna sellers wanauza cheap na wanaship hadi ps3 fully equiped kwa dola 35 kuja tz via usps., nitaitumia myus for official websites tu.

Kwa sasa nimesitisha kidogo hizi shopping online maana CRDB nikipata refund hawaniwekei hela yangu kwenye acc hii imenikatasha tamaavkabisa kwa sasa nafukuzia Banc ABC Visa travel ambayo wanakutengenezea within one day inaanza kazi

Nimewachagua hawa maana kuna kipindi nilipokea Refund kubwa tu after two days nikaendelea kutumia hiyo hela iliyorejeshwa ubovu hii ilikuwa card ya ndugu yangu hivo na mm nimeona hii itanifaa
 
Kaka nimeshajiunga ila nimeambiwa kuna code IPO kwa statement so my QN is inachukua muda gani mpaka nikaichek kule katka statment? Au kuna other way yakuweza kuipata hiyo code
 
Kaka nimeshajiunga ila nimeambiwa kuna code IPO kwa statement so my QN is inachukua muda gani mpaka nikaichek kule katka statment? Au kuna other way yakuweza kuipata hiyo code

Lazima ukaichukue benk 1-3days lkn ni vizuri ukaenda 3rd day tokea transaxn iipotokea maana zinachelewa kuonekana
 
Jana nimepokea wallet kutoka ebay, ilikuwa shipped kutoka china tarehe 20 jan 2014. ndo mara ya kwanza! sa ivi ntakuwa nanunua huko huko online!
 
Napenda kuwapa "mlishonyuma" kuhusu MyUs. . Kwanza natoa shukranui kwa donlucchese kwa hii thread ambayo imenifanya nijue kuhusu MyUs. Nimenunua physical address ya US na niliagiiza bidhaa toka US kwa kutumia hiyo physical address, na vimefika salama, na vililetwa mpaka ofisini kwangu. Tatizo moja tu ni kwamba shipping cost ni kubwa (kama tshs105,000) pamoja na kwamba nilipata discount ya 20% ya first order. Hivyo ni bora kufanya cost analysis kununua hapa vs kuagiza unless unachoagiza hakipatikani hapa. Ni bora zaidi kuagiza vitu vingi na vyote vije kwa pamoja hivyo gharama zinakuwa nafuu zaidi.
 
hu jaribuni kuangalia hii web na kama mtaielewa tuelezane kwa maana naona kama sijaipata system yao vizuri, nawenyewe pia wapo in sync na online stores kama ebay,amazon na mengineyo the link ni.... https://www.ipsparcel.com/ebay.cfm
 
Kwa sasa nimesitisha kidogo hizi shopping online maana CRDB nikipata refund hawaniwekei hela yangu kwenye acc hii imenikatasha tamaavkabisa kwa sasa nafukuzia Banc ABC Visa travel ambayo wanakutengenezea within one day inaanza kazi

Nimewachagua hawa maana kuna kipindi nilipokea Refund kubwa tu after two days nikaendelea kutumia hiyo hela iliyorejeshwa ubovu hii ilikuwa card ya ndugu yangu hivo na mm nimeona hii itanifaa
Mkuu hapa kuna km vitu vitatu CRDB,Paypal na Hawa Mastercard ina maana ebay wakirefund watuma paypal na paypal wanatuma Mastercard kwa system ambayo ni automatic ila sasa issue inakuja kutoka Mastercard kuja CRDB system sio auto so inabidi ukishapata mes ya paypal foward hiyo statement ya paypal crdb customercare ili apewe mtu anayeshughulikia mambo ya Mastercard ili aweze kuclaim hiyo hela toka Mastercard kwa kutumia hiyo statement ya paypal na details nyingine utazotoa fasta hela yako utapata ila sasa ukifika counter CRDB kwa issue km hii angalia staff wa kumface wengi mambo haya hawajui ni mbumbuu kiasi kwamba atakukatisha hata tamaa,ila upande mwingine ukishapata mes ya paypal ina maana hela tiyari inakuwa kwenye mastercard yako ukifanya manunuzi yoyote online unalipia kwa kutumia hiyo hela yako na system inakubali tu
 
Mkuu hapo ndo umenifungua macho labda kusema kuna system kutoka paypal→Mastercard→CRDB nahisi mm sikuwa na uelewa maana nikipokea refund naisubiri ionekane kwenye bank statement mwisho wa mwezi lkn huwa sioni hapo ndo naenda bank

Kuhusu kufanya purchase kwa hela iliyo kwenye mastercard na haionekani kwenye CRDB sidhani kama kuna ukweli labda napo unifafanulie maana mm hizo refund sijaona manufaa tokea nizipate

Kuhusu kuforward message sijaelewa unaituma kwa njia ya email au?
 
Hii kitu mi nliiona tangu mwanzoni (refer attachment). Sema labda wadau hamkunielewa. Bora sasa tuna ushuhuda so sasa hv wadau tutafanya proper decisions tukitaka kufanya manunuzi ya mtandao. Cc @ njunwa wa mavoko

Mkuu point inabaki pale pale inategemea na mtu
Kuna watu wamenunua S4 Mini kwa tofauti ya bei ya 250,000/- ukilinganisha na Bongo land sasa unafikiri mtu kama huyo kulipia 50$ za kuship simu kwa myus.com kwake ni shida?

Lazima ujue value ya mzigo wako kama ni vitu vya kawaida ni kweli hauitaji myus.com

Mfano mm nauza DAWA nyingi tu ambazo hazipatikana hapo bongo na huwa nakutwa na order kubwa kiasi kwamba njia ya posta itanikosesha hela hivo hii myus.com inanisaidia sana lkn kama ni mizigo isiyo na haraka posta inajitoshereza

Ni MUHIMU KUELEWA ESSENSE YA MYUS.COM
1.Kununua mizigo kutoka store za US
2.Kukusafirishia mzigo ambao usingeweza kufika Tanzania sababu seller wa eBay au Amazon haship worlwide
3.Kufanya usafirishaji wa mizigo kwa njia unayotaka(hapa namaanisha maseller wa Ebay unaweza kumlipa hela za Fedex priority(1-4days delivdry) yeye akaship kwa Fedex economy(5-7 days delivery) ili na yeye apate chake

Kuna maseller wengine unalipia DHL anautuma kwa posta lkn myus.com hawawezi fanya hivo

Ni muhimu kutambua mahitaji yako na umuhimu au value ya kitu chako ndo hapo uchague njia itakayo kufaa
 
Hawa exim hawana maana kweli,yani they provide master card kwa faida account,then haifanyi kz online...ndo nn sasa
 
Mkuu hapo ndo umenifungua macho labda kusema kuna system kutoka paypal→Mastercard→CRDB nahisi mm sikuwa na uelewa maana nikipokea refund naisubiri ionekane kwenye bank statement mwisho wa mwezi lkn huwa sioni hapo ndo naenda bank

Kuhusu kufanya purchase kwa hela iliyo kwenye mastercard na haionekani kwenye CRDB sidhani kama kuna ukweli labda napo unifafanulie maana mm hizo refund sijaona manufaa tokea nizipate

Kuhusu kuforward message sijaelewa unaituma kwa njia ya email au?
Hii mes umaweza kuifoward kwa email hii Customer-hotline@crdbbank.com na ikishapokelewa utajibiwa au zaidi kuna hawa staff Peter.Mwalongo@crdbbank.com,tmwambapa@crdbbank.com na Fadhil.Bushagama@crdbbank.com hawa ndo wanashughulikia mambo ya Mastercard pale H/Office unaweza wasiliana nao moja kwa moja ili kuweka pressure si unajua volume kubwa walokuwa nayo CRDB kitu kinhone ambacho tunaswa kujua ina maana tunakuwa na acc zetu kwa Mastercard km bank vile maana mimi ilishawahi kutokea nikafanya manunuzi hela ikakatwa toka CRDB kwenda Mastercard lkn system yao ikawa haiko sawa ikabidi wanirefund sasa kicheko ktk kurefund wakadouble amount nami nikailamba kilichofata baada ya kugundulika wanifungulia overdraft (-balance) kila nilipokuwa nafanya manunuzi hela inakatwa CRDB ikipelekwa Mastercard wanaimeza mpaka deni lilipokwisha mambo yakawa sawa kwa hiyo hiyo inaonyesha hela yako ikiwa refunded inakuwepo tu kwenye acc yako ya Mastercard ila sasa ikikaa muda mrefu sijui wanakuwa na utaratibu gani labda unaweza fanya mawasiliano nao kujua utaratibu wao
 
nimeelewa fulani baada ya kuchukua kama 30minutes kusoma
consolidation------Yaani unaweza ukanunua mizigo mitano afu bado ika-packiwa kama carton moja ku-minimize cost
Merchandise-----Mzigo utakaotumiwa
repackaging-----Kuna merchants wana-pack mzigo kiasi kwamba unakua mkubwa hivo myUS wanaweza repack huo mzigo ili kupunguza uzito...hivo kukupunguzia hipping fee

Simu yako haukuilipia ushuru sababu The TAX/DUTY DEMINIMUS in TZ is 50$ yaani mzigo uliochini ya hiyo thamani hautozwi ushuru
Japo sikuelewa hapo juu uliponambia umedeposit 55$...hizi zote zilikuwa zakusafirishia simu au ni nn?

This is BEST thread form 2013 ....maana hamna thread JF mwaka huu imeniongezea Knowledge zaidi ya hii
THANKS FOR SHARING

Mkuu habari, naomba unielekeze jinsi ya kununua hizo items kwenye link hapo chini, na vitanigarimu kiasi gani? na kuvipata itachukua muda gani?. Thanks

New Curren Modern Men's Brown Leather Band Quartz Watch Black Gift | eBay

LG Nitro HD 4GB at T Unlocked 652810117654 | eBay
 
Hiyo LG Nitro usiione bei ni ndogo hiyo ni ya mnada na mwisho wa mnada bei itapanda karibu kufikia thamani ya USED phone

Hiyo saa unaweza inunua cha kufanya Kama Upo DAR nenda BANK ABC pale Kkoo nenda na driving license,card ya mpiga kura na wambie wakupe CASH CARD watakupa VISA card hapo hapo na hapo utaanza kuitumia PayPal

Sign up paypal ujaze card yako na vielelezo watakavyokuomba
Link account yako ya Bank na Paypal kiasi kwamba ukinunua kitu paypal watakata hela kwenye account yako
Kuna stage ya kuverify japo sio muhimu utaijua baadae kama mm nilivvyoijua baada ya miezi kadhaa

Sign up eBay upate account zitafute saa zako afu bofya BUY NOW watakupeleka paypal utalogin na hela itakatwa kwenye acc yako
kwenye eBay na PayPal watakuomba adress ambako mizigo inabidi ipelekwe

Mizigo yote itasafirishwa kwenye adress yako na kwa njia ya Posta utapata baada ya 2weeks-3weeks
kwa DHL na Fedex baada ya siku 3 lkn wanaweza kukutoza ushuru hivo usipendelee afu bei zao ziko juu hizi zitumie kwa mizigo ambayo ni too expensive na inayoitaji care wakati wa kusafirisha
 
👻👻👏👏👏😁
 
njunwa wamavoko basis mi Leo nimeenda kuomba hyo statement but cjaona paypal wala nin 😤 na Leo ni cku ya 4 kwanza hot statement haijaonyesha transaction yoyote nliyo ifanya online only zile za ATM and tigopesa wakat tayar nsha nunua vitu kama vi3 na vimesha kuwa shipped tayari em help me😟 wew ulifanyaje ukaiona hiyo code ya PayPal yakucomfirm? na uliiona wapi? 😎
 
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko basis mi Leo nimeenda kuomba hyo statement but cjaona paypal wala nin  na Leo ni cku ya 4 kwanza hot statement haijaonyesha transaction yoyote nliyo ifanya online only zile za ATM and tigopesa wakat tayar nsha nunua vitu kama vi3 na vimesha kuwa shipped tayari em help me wew ulifanyaje ukaiona hiyo code ya PayPal yakucomfirm? na uliiona wapi? 

Angalia Transaction iliyowekewa 1.95$ ambayo itakuwa na thamani kama 3500/- itakuwa inaoneshwa ATM
ukiiona hiyo tu niulize swali...kama hauioni labda uliwai sana kuchukua Statement
 
njunwa wamavoko basis mi Leo nimeenda kuomba hyo statement but cjaona paypal wala nin  na Leo ni cku ya 4 kwanza hot statement haijaonyesha transaction yoyote nliyo ifanya online only zile za ATM and tigopesa wakat tayar nsha nunua vitu kama vi3 na vimesha kuwa shipped tayari em help me wew ulifanyaje ukaiona hiyo code ya PayPal yakucomfirm? na uliiona wapi? 

I still do not understand why it takes days siku hizi, when I signed up for paypal 4yrs back I had everything done in a 1 hour lunch break, labda the system changed between then and now and hata nikilipia for something online it shows up on my statement in no time....

I also advice you to sign up with internet banking, it will save you trips za kwenda bank kuangalia statement among many other things
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom